Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
milango ya mji huo itakuwa wazi mchana wote; maana hakutakuwa na usiku humo.
وابوابها لن تغلق نهارا لان ليلا لا يكون هناك.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini usiku malaika wa bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
ولكن ملاك الرب في الليل فتح ابواب السجن واخرجهم وقال
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini saulo alipata habari ya mpango huo. usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.
فعلم شاول بمكيدتهم. وكانوا يراقبون الابواب ايضا نهارا وليلا ليقتلوه.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
heri yao wale wanaoosha mavazi yao, kwani watakuwa na haki ya kula tunda la mti wa uzima, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.
طوبى للذين يصنعون وصاياه لكي يكون سلطانهم على شجرة الحياة ويدخلوا من الابواب الى المدينة.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.
فحدث بغتة زلزلة عظيمة حتى تزعزعت اساسات السجن. فانفتحت في الحال الابواب كلها وانفكت قيود الجميع.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wakisema, "tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani."
قائلين اننا وجدنا الحبس مغلقا بكل حرص والحراس واقفين خارجا امام الابواب ولكن لما فتحنا لم نجد في الداخل احدا
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kwa hiyo, kila mliyosema gizani, watu watayasikia katika mwanga, na kila mliyonong'ona faraghani milango imefungwa, yatatangazwa juu ya nyumba.
لذلك كل ما قلتموه في الظلمة يسمع في النور وما كلمتم به الاذن في المخادع ينادى به على السطوح.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kila upande ulikuwa na milango mitatu: upande wa mashariki, milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.
من الشرق ثلاثة ابواب ومن الشمال ثلاثة ابواب ومن الجنوب ثلاثة ابواب ومن الغرب ثلاثة ابواب.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, baada ya siku nane hao wanafunzi walikuwa tena pamoja mle ndani, na thoma alikuwa pamoja nao. milango ilikuwa imefungwa, lakini yesu akaja, akasimama kati yao, akasema, "amani kwenu!"
وبعد ثمانية ايام كان تلاميذه ايضا داخلا وتوما معهم. فجاء يسوع والابواب مغلقة ووقف في الوسط وقال سلام لكم.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta