Hai cercato la traduzione di tunapaswa da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

tunapaswa

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: tunapaswa kupendana!

Arabo

لان هذا هو الخبر الذي سمعتموه من البدء ان يحب بعضنا بعضا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.

Arabo

فان كان لنا قوت وكسوة فلنكتف بهما.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.

Arabo

فلا ننم اذا كالباقين بل لنسهر ونصح.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

naam, tunapaswa kuvikwa namna hiyo ili tusije tukasimama mbele ya mungu bila vazi.

Arabo

وان كنا لابسين لا نوجد عراة.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa sababu hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini zaidi yote tuliyosikia, ili tusije tukapotoshwa.

Arabo

لذلك يجب ان نتنبه اكثر الى ما سمعنا لئلا نفوته.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, sisi tunapaswa kuwasaidia watu hawa, ili nasi tupate kushiriki katika kazi yao kwa ajili ya ukweli.

Arabo

فنحن ينبغي لنا ان نقبل امثال هؤلاء لكي نكون عاملين معهم بالحق

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia wale walio dhaifu wayakabili matatizo yao. tusijipendelee sisi wenyewe tu.

Arabo

فيجب علينا نحن الاقوياء ان نحتمل اضعاف الضعفاء ولا نرضي انفسنا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zaidi ya hayo sisi tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. basi, tunapaswa kumtii zaidi baba yetu wa kiroho ili tupate kuishi.

Arabo

ثم قد كان لنا آباء اجسادنا مؤدبين وكنا نهابهم. أفلا نخضع بالأولى جدا لأبي الارواح فنحيا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ndugu, tunapaswa kushukuru mungu daima kwa ajili yenu. inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.

Arabo

ينبغي لنا ان نشكر الله كل حين من جهتكم ايها الاخوة كما يحق لان ايمانكم ينمو كثيرا ومحبة كل واحد منكم جميعا بعضكم لبعض تزداد

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tusiache ile desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya. bali tunapaswa kusaidiana kwani, kama mwonavyo, siku ile ya bwana inakaribia.

Arabo

غير تاركين اجتماعنا كما لقوم عادة بل واعظين بعضنا بعضا وبالاكثر على قدر ما ترون اليوم يقرب

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, tunapaswa kuzingatia kwa uthabiti imani tunayoiungama. maana tunaye kuhani mkuu aliyeingia mpaka kwa mungu mwenyewe--yesu, mwana wa mungu.

Arabo

فاذ لنا رئيس كهنة عظيم قد اجتاز السموات يسوع ابن الله فلنتمسك بالاقرار.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunapaswa kumshukuru mungu daima kwa ajili yenu ninyi ndugu, ninyi mnaopendwa na bwana, kwa maana mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya roho mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.

Arabo

واما نحن فينبغي لنا ان نشكر الله كل حين لاجلكم ايها الاخوة المحبوبون من الرب ان الله اختاركم من البدء للخلاص بتقديس الروح وتصديق الحق.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya bwana yesu mwenyewe: heri zaidi kutoa kuliko kupokea."

Arabo

‎في كل شيء اريتكم انه هكذا ينبغي انكم تتعبون وتعضدون الضعفاء متذكرين كلمات الرب يسوع انه قال مغبوط هو العطاء اكثر من الاخذ‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

lakini tunapaswa kukumbuka kwamba sheria haziwekwi kwa ajili ya watu wema, bali kwa ajili ya wahalifu na wasiotii, wasiomcha mungu na wenye dhambi, watu wasio na dini na wa kidunia. watu wanaowaua baba na mama zao, au wauaji wowote wale;

Arabo

عالما هذا ان الناموس لم يوضع للبار بل للأثمة والمتمردين للفجّار والخطاة للدنسين والمستبيحين لقاتلي الآباء وقاتلي الامهات لقاتلي الناس

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,779,379,117 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK