Hai cercato la traduzione di tunayo da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

tunayo

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

lakini wao wakamwambia, "tunayo mikate mitano tu na samaki wawili."

Arabo

فقالوا له ليس عندنا ههنا الا خمسة ارغفة وسمكتان.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la wayahudi, hawana haki ya kula vitu vyake.

Arabo

لنا مذبح لا سلطان للذين يخدمون المسكن ان يأكلوا منه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tuombeeni na sisi. tuna hakika kwamba tunayo dhamiri safi, maana twataka kufanya lililo sawa daima.

Arabo

صلّوا لاجلنا. لاننا نثق ان لنا ضمير صالح راغبين ان نتصرف حسنا في كل شيء.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunayo mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, kwa sababu ninyi si wepesi wa kuelewa.

Arabo

الذي من جهته الكلام كثير عندنا وعسر التفسير لننطق به اذ قد صرتم متباطئي المسامع.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sasa, kwa vile tumekubaliwa kuwa wadilifu kwa imani, basi, tunayo amani na mungu kwa ajili ya bwana wetu yesu kristo.

Arabo

فاذ قد تبررنا بالايمان لنا سلام مع الله بربنا يسوع المسيح

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunayo furaha kubwa kutagaza kwamba mkutano mkuu wa kiraia wa global voices 2015 utafanyika kati ya tarehe 24 na 25 jijini cebu, nchini filipino.

Arabo

يسعدنا الإعلان عن قمة الأصوات العالمية لإعلام المواطن للعام 2015، والتي تقام بين 24-25 يناير / كانون الثاني في مدينة سيبو بالفلبين.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunayo furaha kutangaza kwamba baada ya kuwa mhariri wetu wa kitengo cha utetezi kwa miaka miwili, ellery biddle atakuwa mkurugenzi mpya wa kitengo cha global voices utetezi.

Arabo

يسعدنا، بعد مرور عامين على تولي إليري بيديل منصب محرر دفاع الأصوات العالمية، الإعلان عن كونها الآن المدير الجديد للمشروع.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunayo furaha kutangaza kwamba mkutano wa pili wa global voices utafanyika cairo, misri kuanzia novemba 16 kwa ajili ya warsha itakayokuwa inaanza saa 5 asubuhi mpaka saa 9 alasiri.

Arabo

يسرنا الإعلان عن الملتقى الثاني للأصوات العالمية والذي يجري في القاهرة في السادس عشر من نوفمبر / تشرين الثاني في the workshps من الساعة الحادية عشر صباحاً إلى الثالثة عصراً.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maandiko yasema: "nani awezaye kuifahamu akili ya bwana? nani awezaye kumshauri?" lakini sisi tunayo akili ya kristo.

Arabo

لانه من عرف فكر الرب فيعلمه. واما نحن فلنا فكر المسيح

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wayahudi wakamjibu, "sisi tunayo sheria, na kufuatana na sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa mwana wa mungu."

Arabo

اجابه اليهود لنا ناموس وحسب ناموسنا يجب ان يموت لانه جعل نفسه ابن الله.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

tunayo bahati kupata uungwaji mkono na "mabalozi" kama rodrigo pérez (@isf_mx) kutoka mexico, ambaye hu-twiti kwa lugha ya ki-zapoteki na ignacio tomichá chuve (@monkoxbesiro) kutoka bolivia, anaye-twiti kwa lugha ya bésiro (chiquitano), ambao walitenegeza video hizi kualika washiriki katika kampeni hii.

Arabo

ونحن محظوظون لوجود "سفراء" لهذه الحملة مثل رودريجو بيريز (isf_mx@) من المكسيك، والذي يغرد دوريًا بلغة الزابوتيك، بالإضافة إلى توميكا شوفيه (monkoxbesiro@) من بوليفيا، والذي يغرد بكثافة بلغة البيسيرو (أو التشيكيتانو)، والذي صمم مقاطع الفيديو التالية، للمساهمة في الدعوة للانضمام إلى هذه الحملة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,748,184,070 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK