Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
agizo mbaya (exec) kuzindua
bad command (exec) to launch
Ultimo aggiornamento 2024-04-13
Frequenza di utilizzo: 3
Qualità:
akasema: je, mmekiri na mmekubali kushika agizo langu juu ya hayo?
[allah] said, "have you acknowledged and taken upon that my commitment?"
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.
and they kept that saying with themselves, questioning one with another what the rising from the dead should mean.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe,
whosoever therefore resisteth the power, resisteth the ordinance of god: and they that resist shall receive to themselves damnation.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
gavana wa ohio, mike dewine alitangaza kuwa jimbo hilo liliongeza muda wa agizo la watu kukaa nyumbani hadi tarehe 1 mei.
the governor of ohio, mike dewine, announced the state had extended its stay-at-home order until may 1.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mahakama ya jinai ya kimataifa imetoa agizo la kumkamata omer el-bashir kwa tuhuma za makosa katika vita.
the international criminal court issued an arrest warrant for omer el-bashir on charges of war crimes.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akasema: je, mmekiri na mmekubali kushika agizo langu juu ya hayo? wakasema: tumekubali.
he said: assent ye, and take ye my burthen thereunto they said: we assent.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
agizo lilitiwa sahihi na wizara ya elimu kama hatua ya kuzuia lililenga kuzuia kuenea kwa magonjwa ya pumu kuhusiana na janga kubwa la virusi vya korona la who.
an order signed by the ministry of education as a preventative measure aims to prevent the spread of respiratory diseases in connection with the who coronavirus pandemic.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hata hivyo, jukwaa la kublogu amarblog ilitoa tamko mnamo tarehe 22, machi 2013 linalosema kuwa haitahatarisha haki za siri za wanablogu kufuatia agizo la serikali.
however, blogging platform amarblog published a statement on march 22, 2013 saying that it won't jeopardize bloggers' privacy at the request of the government.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lópez, kiongozi wa chama cha voluntad popular, alitakiwa kujisalimisha kwa agizo la mahakama jijini caracas kwa kutuhumiwa kuhusika na makosa ya jinai yanayohusiana na maandamano yanayoendelea nchini venezuela.
lópez, the leader of the voluntad popular party, had an arrest warrant that was issued against him by a court in caracas for allegedly being responsible for crimes related to the protests taking place in venezuela.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
icc peke yake haiwezi kufanya lolote kutekeleza agizo hilo la kukamatwa (kama italitoa) na umoja wa mataifa ni chui asiye na meno, lakini…
the icc can’t do much on its own in terms of enforcing the arrest warrant (if it issues it at all) and the un is a fangless paper tiger, but…
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
agizo la kukamatwa linayotolewa na icc katika mazingira mapya litakuwa na uzito, hivyo kutolewa kwake kutakuwa na manufaa kama zana ya kumshinikiza omar al-bashir kutengeneza mazingira yatakayoleta amani katika darfur na kutekeleza mkataba wa amani sudani ya kusini, cpa.
an icc arrest warrant issued within this new context will now have more weight, and hence its potential issuance will probably be more useful as a tool for pressuring omar al-bashir to act in favor of peace in darfur and implementing the cpa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
-1" or 2+663-663-1=0+0+0+1 --
e
Ultimo aggiornamento 2023-07-19
Frequenza di utilizzo: 4
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta