Hai cercato la traduzione di amewaahidi da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

amewaahidi

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi walio kufuru, na ni marudio mabaya hayo.

Inglese

allah has promised it to the unbelievers! and evil is that destination!"

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

ni moto. mwenyezi mungu amewaahidi walio kufuru, na ni marudio mabaya hayo.

Inglese

[it is] the fire which allah has promised those who disbelieve, and wretched is the destination."

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.

Inglese

allah has promised those among them who believe (i.e. all those who follow islamic monotheism, the religion of prophet muhammad saw till the day of resurrection) and do righteous good deeds, forgiveness and a mighty reward (i.e. paradise).

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi waumini wanaume na waumini wanawake bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo.

Inglese

allah has promised the believing men and believing women gardens beneath which rivers flow. they shall abide in it.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ingawa mwenyezi mungu amewaahidi wote mashukio mema, lakini mwenyezi mungu amewafadhili wanao pigana kwa ujira mkubwa kuliko wanao kaa tu.

Inglese

and to both allah has promised the best [reward]. but allah has preferred the mujahideen over those who remain [behind] with a great reward -

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake na makafiri moto wa jahannamu kudumu humo. hayo yanawatosha, na mwenyezi mungu amewalaani; nao wana adhabu milele.

Inglese

allah has promised the hypocrite men and hypocrite women and the disbelievers, the fire of hell in which they will remain forever; that is sufficient for them; and allah’s curse is upon them; and for them is a never ending punishment.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu amewatukuza cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko wale wanao kaa tu. ingawa mwenyezi mungu amewaahidi wote mashukio mema, lakini mwenyezi mungu amewafadhili wanao pigana kwa ujira mkubwa kuliko wanao kaa tu.

Inglese

allah has exalted in rank those who strive with their possessions and their lives over those who sit at home; and though to each allah has promised some good reward, he has preferred those who strive (in the way of allah) over those who sit at home for a mighty reward.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao.

Inglese

allah has promised those of you who believe and do good works that he will indeed make them successors in the land as he made those who were before them successors, and that he will indeed establish their religion for them; that which he has approved for them, and will exchange safety for them after their fear.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. wawe wananiabudu mimi, wala wasinishirikishe na chochote.

Inglese

allah has promised those among you who believe and do good deeds, that he will certainly give them the caliphate in the earth the way he gave to those before them; and that he will certainly establish for them their religion which he has chosen for them, and will turn their prior fear into peace; they must worship me and not ascribe anything as a partner to me; and whoever is ungrateful after this – it is they who are the disobedient.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,792,306,087 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK