Hai cercato la traduzione di ibara da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

ibara

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

ibara ni nini

Inglese

what is article marketing?

Ultimo aggiornamento 2022-04-11
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

inashangaza kidogo kwamba tafsiri nyingi zimekuwa zikitolewa kwenye ibara hii kuhusiana na namna inavyoweza kutumika.

Inglese

it is little wonder that multiple interpretations have been given to this article with regards to its application.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ibara ya 6 ya sheria hiyo, ambayo ndiyo imetumika kufinya uhuru wa kujieleza, inatamka kwamba:

Inglese

article 6 of the proclamation, which has been used to curtail freedom of expression, provides that:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

...kwa watu ambao, ingawa hawajaorodheshwa katika ibara hii, wanahitaji kuipata ili kutimiza majukumu yenye maslahi ya nchi.

Inglese

...to people who, although not listed in this article, need to attain it while fulfilling a role of interest for the country.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hata hivyo, ibara ya 175 haina mwongozo uliowazi kwa polisi au mahakama kuhusu kile kinachoweza kuitwa kukosa maadili katika kesi kama hizi::

Inglese

interestingly, article 175 offers no clear guidance to police or courts about what constitutes obscenity in these cases:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hata hivyo, pasipoti za kidiplomasia zimekuwa zikitolewa kwa wawakilishi wa kanisa katoliki, kwa kutumia tafsiri ya ibara ya 6, kifungu cha 3:

Inglese

however, diplomatic passports have also been traditionally conceded to representatives of the catholic church, based on the interpretation of article 6, paragraph 3:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.

Inglese

if we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu b, ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.

Inglese

amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and hiv status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section b, article 2 of that legal document.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kinyume na matarajio, haki ya kuhakikishiwa hifadhi ni kipengele muhimu katika tamko la kimataifa la haki za binadamu (ibara ya 22) na sehemu yenye unyeti katika of the utekelezaji wa malengo makuu ya kimaendeleo ya milenia (mdg), yaliyobuniwa na umoja wa mataifa.

Inglese

on the contrary, the right to security is an integral component of the universal declaration of human rights (article 22) and an important part of the millenium development goals (mdg), as conceived by the united nations.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,736,380,667 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK