Hai cercato la traduzione di inajulikana da Swahili a Inglese

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

inajulikana

Inglese

it is known

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hii inajulikana kama kipindi cha kupevuka.

Inglese

this is called the incubation period.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

inajulikana kama "door waar," na ina umuhimu wa kimsingi katika maisha ya vijana wasenegal.

Inglese

he was glad because he made some good profits with this new work, i had a better understanding of the informal sector here, commonly known as "door waar " which plays a fundamental role in the lives of senegalese youth .

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti kumi, au sivyo? lakini mbele ya mungu hasahauliki hata mmoja.

Inglese

are not five sparrows sold for two farthings, and not one of them is forgotten before god?

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

vipimo vya awamu ya iv ni vipimo vya baada ya idhini ambayo inaweza kuwa hali iliyowekwa na fda, pia inajulikana kama utafiti wa ufuatiliaji baada ya uuzaji.

Inglese

phase iv trials are post-approval trials that may be a condition attached by the fda, also called post-market surveillance studies.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kukaa mbali ya jamii (pia inajulikana kama kutotangamana na watu) ni pamoja na vitendo vya kuthibiti maambukizi zinazonuiwa kupunguza usambazaji wa ugonjwa kwa kupunguza kugusana kati ya watu.

Inglese

social distancing (also known as physical distancing) includes infection control actions intended to slow the spread of disease by minimizing close contact between individuals.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mnamo mwaka 2002, nelson mandela mwenyewe alitumia siku hii kuzindua kampeni yake ya ulimwengu mzima kuhamasisha welewa na kupiga vita tatizo la vvu/ukimwi, kameni hiyo inajulikana kama 46664.

Inglese

in 2002, however, nelson mandela himself used this day to launch his global hiv/aids awareness and prevention campaign, 46664.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

faida hizi, hata hivyo, hutumika tu kwa bidhaa na huduma zinazotumika kwa ajili ya shughuli za kidini, wakati kanisa la serbia la orthodox inajulikana kuwa na aina mbalimbali za magari ya gharama kubwa katika umiliki wa kanisa, zinazotumiwa na viongozi wake na wafanyakazi.

Inglese

these benefits, however, only apply to products and services that serve for religious activities, while the serbian orthodox church is known to have a variety of the most expensive vehicles in the ownership of the church, used by its officials and employees.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

inajulikana vyema kuwa naijeria ina tatizo la muonekano – utapeli wa 419 kwenye intaneti, rushwa, uharamia wa mafuta katika jimbo la delta – kwa watu wengi, huu ndio uhusiano unaokuja akilini wakati nchi yenye watu wengi zaidi afrika inapotajwa.

Inglese

it's well known that nigeria has an image problem – 419 internet scams, corruption, oil piracy in the delta region – for many people, these are the associations that come to mind when africa's most populous country is mentioned.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,747,475,216 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK