Hai cercato la traduzione di kufanikisha usimamizi na udhibiti da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

kufanikisha usimamizi na udhibiti

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

ona na udhibiti data yako

Inglese

view and manage your data

Ultimo aggiornamento 2021-06-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

asia ya kusini mashariki : ngono na udhibiti wa mtandao

Inglese

southeast asia: sex and web censorship · global voices

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ushauri wa uzuiaji na udhibiti wa maambukizi utafuata mwongozo uliopo wa kitaifa.

Inglese

infection prevention and control advice will follow extant national guidance.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ndani ya irani wanataka kuwa na udhibiti zaidi kuhusiana na nini watu wanachoweza kukisoma.

Inglese

inside iran, they want to have more control over what people read.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ripoti ya mwisho ya benki ya dunia inaonyesha kwamba mageuzi yaliyofanywa na serikali nyingi za kiafrika yameboresha mazingira ya kibiashara katika utawala, fedha na udhibiti.

Inglese

the final report of the world bank indicates that the reforms undertaken by most african governments have improved the business environment in the administrative, fiscal and regulatory domains.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya vikosi vya upinzani kuwa na udhibiti kamili wa bishkek, walikabiliana na hatari nyingine kubwa zaidi, yaani, unyang'anyi.

Inglese

after the opposition forces won bishkek, they confronted another serious danger: the looters.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

#dershowitz anasema nyie nyote mnaoishi isiyo na udhibiti wa bunduki na mahali ambapo watoto hawako salama kwenda shule, inaweza kuwa ya kijinga tu!!!

Inglese

#dershowitz says you who lives in a country which lacks gun control and where kids are not safe going to school, can only be an idiot!!! — lazid (@orbiter03) march 5, 2014

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kampeni ya facebook ilimtaka rouhani kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa facebook, na kikundi cha wanablogu na wanaharakati wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano na udhibiti wake walimwandikia barua rais mteule wakimtaka aongeze kasi ya mtandao wa intaneti.

Inglese

a facebook campaign asked rouhani to end the filtering of facebook, and a group of bloggers and cyber activists wrote a letter to the president-elect asking him to increase internet speeds.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hakuna mzazi atakayeweza kuwa na udhibiti mahsusi juu ya pahali ambapo mwanae atajifunza kuhusu ngono na jinsi ninavyoona mimi mzazi mwenye busara atapenda mwanae apate elimu hiyo kutoka kwenye shule na kutoka kwa mwalimu aliyefuzu vizuri kuliko kujifunza kuhusu hilo toka kwa watoto wenzie nyuma ta mti.

Inglese

no parent is going to have absolute control over the places their children are going to learn about sex and it seems to me that a wise parent would at least want his or her children to be exposed to proper sex education by trained teachers in a controlled school setting rather than learning about sex from a peer behind a tree.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

jambo la pili, na muhimu zaidi, rais tandja aliwakasirisha wa-niger wengi wakati alipuvunja bunge na kusimika mageuzi ya kikatiba ambayo yalimpa nguvu kubwa zaidi huku kukiwa na udhibiti mdogo.

Inglese

mass starvation is never a stabilizing force. second, and more importantly, president tandja had angered many nigeriens in 2009 when he dissolved parliament and enacted constitutional reforms that gave him broad powers with few checks or balances.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

katika vipau mbele ilivyojiwekea, jukwaa hili litakusanya taarifa kuhusiana na matukio ya udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter, ikiwa na lengo la kuisaidia jamii kuwa na uelewa mpana na namna ya kukabiliana na mambo yanayohusiana na udhibiti wa taarifa na uhuru wa kujieleza.

Inglese

currently in alpha, the platform will collect data about incidents of censorship on online platforms such as facebook and twitter, with the aim of helping society better understand and manage censorship and free expression issues.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kuendelea kwa uchunguzi katika uwanja huu kutapambanua njia ya ukuaji wa sars-cov-2 katika wanyama, na athari muhimu ikiwa katika uzuiaji na udhibiti wa covid-19 katika binadamu.

Inglese

continued investigations in this area will elucidate the evolutionary pathway of sars-cov-2 in animals, with important implications in the prevention and control of covid-19 in humans.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kwa pamoja, michakato hii inajulikana katika utengenezaji wa kabla wa kimatibabu kama kemia, utengenezaji, na udhibiti (cmc). hali nyingi za utengenezaji wa dawa zinalenga kuridhisha mahitaji ya kisheria ya mamlaka ya inayotoa leseni ya dawa.

Inglese

together, these processes are known in preclinical and clinical development as chemistry, manufacturing, and control (cmc).many aspects of drug development focus on satisfying the regulatory requirements of drug licensing authorities.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

der spiegel anamtaja iraqi samir abd muhammad al-khlifawi, aliyeuawa huko tal rifaat in syria mwezi januari 2014, kuwa ndiye "moyo" wa isis, tawi la al qaeda ambalo limekuwa na udhibiti wa nchi kama iraq na syria, wakiacha hofu, vifo na uharibifu sehemu mbalimbali.

Inglese

der spiegel names iraqi samir abd muhammad al-khlifawi, killed in tal rifaat in syria in january 2014, as the "architect" of the isis, an al qaeda off-shoot which has come to control larges swathes of land in iraq and syria, leaving terror, death and destruction in its trail.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,794,217,638 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK