Hai cercato la traduzione di kumaliza da Swahili a Inglese

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

kumaliza

Inglese

my life to be

Ultimo aggiornamento 2013-10-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya kumaliza

Inglese

once you have completed the

Ultimo aggiornamento 2022-05-26
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

uko karibu kumaliza nafasi ya uhifadhi

Inglese

uko karibu apa

Ultimo aggiornamento 2021-01-19
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

cheti cha kumaliza  elimu ya msingi

Inglese

certificate of dropping out of primary education

Ultimo aggiornamento 2023-07-19
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mimi ni muajiriwa wa mkataba kwa mizi sita natarajia kumaliza mwezi wa saba

Inglese

mussa is a three-month contract employee

Ultimo aggiornamento 2023-06-17
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

la sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka

Inglese

lest haply, after he hath laid the foundation, and is not able to finish it, all that behold it begin to mock him,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nilishiriki kumaliza mgogo wa wanandoa unaosababishwa na ulevi wa pombe uliopitiliza wa baba

Inglese

i participated in ending the couple's tragedy caused by the father's excessive addiction.

Ultimo aggiornamento 2022-09-19
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nimemaliza shulebya msingi mwaka elufu mbili n nane na kumaliza elufu na kumi na nne

Inglese

the year two thousand and four

Ultimo aggiornamento 2022-09-23
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mtumiaji wa mtandao wa twita @racksonador anatoa wito wa kumaliza mijadala ya kishabiki:

Inglese

user @racksonador calls for a stop to alarmist discussion:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kiongozi huyu wa rwanda anasifiwa kwa kumaliza mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yaliyoangamiza zaidi ya watu 800,000.

Inglese

the rwandan leader is widely credited for having put an end to the 1994 genocide that killed over 800,000 people.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hatua hiyo inakuja baada ya hamas, kikundi kinachoitawala gaza, kukataa pendekezo la kumaliza mapigano lililotolewa na misri.

Inglese

the escalation comes after hamas, which governs gaza, rejected a truce brokered by egypt.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na mtakapo wapa wanawake t'alaka, nao wakafikia kumaliza eda yao, basi warejeeni kwa wema au waachilieni kwa wema.

Inglese

and when you have divorced women and they have fulfilled the term of their prescribed period, either take them back on reasonable basis or set them free on reasonable basis.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya kumaliza chuo nilipata internship ya kwenda israel na kuanza  kufanya kazi kwa vitendo kama kuzalisha mazao mbalimbali na nimepata ujuzi wakutosha

Inglese

i completed my college education in 2022 at the undergraduate level

Ultimo aggiornamento 2023-12-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na mwishowe, tutakaa kitako na syrian foodie in london, na kumaliza ziara yetu kwa chakula kitamu cha damascene, ful nabit:

Inglese

and finally, we'll sit down with syrian foodie in london, and finish our tour with a delicious damascene treat, ful nabit:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya majadiliano ya kisiasa nchini ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua raisi mpya.

Inglese

after political discussions in ethiopian, leaders of various somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu, hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini, na hapa pakistani inafungua ukurasa mpya.

Inglese

after many moons of tyranny, yesterday marked the end of a reign of power barely 60 days shy of nine years, pakistan turns over a new leaf.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hapa chini unaweza kuona picha za kampeni ya #myfriend kuthibitisha kwamba watu nchini myanmar, hususani vijana, wamekusudia kumaliza chuki kwa kuonesha wanavyoheshimiana na kupendana.

Inglese

below are some photos from the #myfriend campaign to prove that people in myanmar, especially the young, are determined to end hate by showing respect and friendship.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kwenye mtandao wa twita, habari zilipokelewa na wasiwasi na mashaka pamoja na wito wa kupatikana kwa ufumbuzi wa kisiasa kumaliza machafuko katika nchi, kufuatia maandamano kuenea dhidi ya serikali ambayo yalianza februari 14, 2011.

Inglese

on twitter, the news was received with doubt, skepticism and a call for a political solution to end the unrest in the country, following widespread anti-government protests which started on february 14, 2011.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya kupitia mijadala mbalimbali iliyotokea usiku wa uchaguzi, kuna wazo linaonekana kujitokeza kuwa sehemu ya mjadala: hitaji la kutambua kwa pamoja umuhimu wa kumaliza matabaka katika jamii, na hitaji la wadau wote kujichunguza wenyewe.

Inglese

after sifting through the numerous exchanges that took place during the night of the election, an idea seems to creep up as part of the debate: the need for mutual recognition to overcome the long separation of social classes, and the need for self-criticism from each of the players.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mtuhumiwa kwa sasa aliyeko mahabusu kwa tuhuma za mauaji ni wa asili ya albania, na wakati ghasia zikisababisha hali ya kutokuelewana kati ya watu wenye asili ya albania na wenzao wa kimasedonia waishio skopje, raia wa masedonia wenye asili tofauti walitoa mwito kupitia mitandao ya kijamii kuwaomba wananchi wenzao kuwa watulivu na kumaliza hali hiyo.

Inglese

the suspect currently in custody for the murder is of albanian ethnicity, and while riots created tension between ethnic albanian and macedonian populations of skopje, macedonian citizens of all ethnicities appealed through social networks to their fellow countrymen to keep calm and deescalate this situation.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,772,761,829 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK