Hai cercato la traduzione di kutahiriwa da Swahili a Inglese

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

kutahiriwa

Inglese

circumcision

Ultimo aggiornamento 2013-09-09
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

lakini, hata mwenzangu tito, ambaye ni mgiriki, hakulazimika kutahiriwa,

Inglese

but neither titus, who was with me, being a greek, was compelled to be circumcised:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

nasema tena wazi: kila anayekubali kutahiriwa itambidi kuishika sheria yote.

Inglese

for i testify again to every man that is circumcised, that he is a debtor to do the whole law.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

basi, myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? au kutahiriwa kuna faida gani?

Inglese

what advantage then hath the jew? or what profit is there of circumcision?

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

sikilizeni! ni mimi paulo ninayesema nanyi! kama mkikubali kutahiriwa, kristo hatawafaidia chochote.

Inglese

behold, i paul say unto you, that if ye be circumcised, christ shall profit you nothing.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.

Inglese

for circumcision verily profiteth, if thou keep the law: but if thou be a breaker of the law, thy circumcision is made uncircumcision.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

maana ikiwa tumeungana na kristo yesu, kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani ifanyayo kazi kwa mapendo.

Inglese

for in jesus christ neither circumcision availeth anything, nor uncircumcision; but faith which worketh by love.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; lakini si kwa kuwa wametahiriwa, bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya imani baba yetu abrahamu aliyofuata kabla ya kutahiriwa.

Inglese

and the father of circumcision to them who are not of the circumcision only, but who also walk in the steps of that faith of our father abraham, which he had being yet uncircumcised.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

na kwa upande wangu, ndugu zangu, kama bado ninahubiri kwamba kutahiriwa ni lazima, kwa nini basi, bado ninadhulumiwa? kama ingalikuwa hivyo, mahubiri yangu juu ya msalaba wa kristo yasingalileta aibu yoyote.

Inglese

and i, brethren, if i yet preach circumcision, why do i yet suffer persecution? then is the offence of the cross ceased.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,750,040,824 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK