プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.
for circumcision verily profiteth, if thou keep the law: but if thou be a breaker of the law, thy circumcision is made uncircumcision.
vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; lakini si kwa kuwa wametahiriwa, bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya imani baba yetu abrahamu aliyofuata kabla ya kutahiriwa.
and the father of circumcision to them who are not of the circumcision only, but who also walk in the steps of that faith of our father abraham, which he had being yet uncircumcised.
na kwa upande wangu, ndugu zangu, kama bado ninahubiri kwamba kutahiriwa ni lazima, kwa nini basi, bado ninadhulumiwa? kama ingalikuwa hivyo, mahubiri yangu juu ya msalaba wa kristo yasingalileta aibu yoyote.
and i, brethren, if i yet preach circumcision, why do i yet suffer persecution? then is the offence of the cross ceased.