Hai cercato la traduzione di mukhtadha da Swahili a Inglese

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

mukhtadha

Inglese

Ultimo aggiornamento 2021-04-23
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

“vugu vugu la miamvuli’ ni jina sahihi kwa mukhtadha huu.

Inglese

"umbrella movement" is a more suitable title in this context.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

slate afrique inaeleza mukhtadha wa asili ya kichwa hiki cha habari :

Inglese

slate afrique explains the context of this original (to say the least) headline :

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

makala hiyo, hata hivyo, haikueleza mukhtadha ambao kibuule alitoa matamshi hayo.

Inglese

the article, however, did not explain the context in which kibuule made the comments.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nukuu huunganishwa na kungo cha chanzo cha habari kinachotoa undani na mukhtadha wa suala husika.

Inglese

the quotes are linked to a news source which provides details and context of a particular issue.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

@iyad_elbaghdadi: sielewi mukhtadha wa video hii ya kukamatwa kwa #morsi.

Inglese

@iyad_elbaghdadi: i don't understand the context of #morsi arrest vid.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya global voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao.

Inglese

aimed at providing a larger context and fostering the global voices mission, this collection of 2012 posts will try to parse out such complex framework and open up the horizon for the upcoming year.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

katika mukhtadha huo huo, kikundi kingine cha walimu walihamishwa kiholela, walifanya maandamano mbele ya ofisi ya waziri wa elimu ahmed ould bah, wakiupinga uamuzi huo na kudai kusitishwa mara moja hatua hiyo.

Inglese

in the same context, another group of arbitrary transferred teachers, held a demonstration in front of the education minister ahmed ould bah's office, denouncing the decision and demanding its immediate retreat.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ndio maana tulivutwa sana na mawazo, kwa mfano, kwamba mauaji ya kimbari nchini rwanda yalikuwa ni matokeo ya “chuki za asili za kikabila” badala ya mukhtadha wa siasa za kijiografia.

Inglese

this is why we were so sold on the idea, for example, that the rwandan genocide was the result of “ancient ethnic hatreds” rather than geopolitical context.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

“pale wanafunzi wanapochangia msala na mwalimu, wataamini (wanafunzi) kwamba wako sawa na wanataaluma na hii moja kwa moja huamsha hisia za kujichukulia kuwa na umuhimu katika taasisi, ambako, kwa mukhtadha huu, ni shule,” anasema mwenyekiti wa kamati ya elimu, elimu ya juu, rasilimali watu, sayansi na teknolojia wa jimbo hilo, ahmad razif abd rahman katika gazeti la mahali hapo la the star.

Inglese

“when students share the toilets with the teacher, they (students) will believe that they are on par with academicians and this automatically invokes a sense of being important to an organisation, which, in this case, is the school,” says state education, higher learning, human resource, science and technology committee chairman ahmad razif abd rahman in local daily the star.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,746,983,782 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK