Hai cercato la traduzione di mwanzi wa yesu da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

mwanzi wa yesu

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

ukoo wa yesu

Inglese

genealogy of jesus

Ultimo aggiornamento 2015-05-23
Frequenza di utilizzo: 8
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

afrika wa yesu

Inglese

mother of jesu

Ultimo aggiornamento 2023-04-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

moyo mtakatifu wa yesu

Inglese

the sacred heart of jesus

Ultimo aggiornamento 2022-09-27
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

what is utoto mtakatifu wa yesu in english

Inglese

what is utoto mtakatifu wa yesu in english

Ultimo aggiornamento 2021-05-16
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

basi, yeye alikwenda kwa pilato, akaomba apewe mwili wa yesu.

Inglese

this man went unto pilate, and begged the body of jesus.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa yesu, akasema habari zake.

Inglese

these things said esaias, when he saw his glory, and spake of him.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

akamwendea pilato, akaomba apewe mwili wa yesu. basi, pilato akaamuru apewe.

Inglese

he went to pilate, and begged the body of jesus. then pilate commanded the body to be delivered.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mimi paulo, mtume wa yesu kristo kwa amri ya mungu mwokozi wetu na yesu kristo tumaini letu,

Inglese

paul, an apostle of jesus christ by the commandment of god our saviour, and lord jesus christ, which is our hope;

Ultimo aggiornamento 2024-04-24
Frequenza di utilizzo: 5
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

walipofika kwenye mipaka ya musia, walijaribu kuingia mkoani bithunia, lakini roho wa yesu hakuwaruhusu.

Inglese

after they were come to mysia, they assayed to go into bithynia: but the spirit suffered them not.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

basi, waliutwaa mwili wa yesu, wakaufunga sanda pamoja na manukato kufuatana na desturi ya wayahudi katika kuzika.

Inglese

then took they the body of jesus, and wound it in linen clothes with the spices, as the manner of the jews is to bury.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa armathaya, jina lake yosefu. yeye pia alikuwa mwanafunzi wa yesu.

Inglese

when the even was come, there came a rich man of arimathaea, named joseph, who also himself was jesus' disciple:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya siku ya sabato, maria magdalene, salome na maria mama yake yakobo walinunua manukato ili wakaupake mwili wa yesu.

Inglese

and when the sabbath was past, mary magdalene, and mary the mother of james, and salome, had bought sweet spices, that they might come and anoint him.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi kuyapaka mwili wa yesu. siku ya sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.

Inglese

and they returned, and prepared spices and ointments; and rested the sabbath day according to the commandment.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

basi, akiongozwa na roho mtakatifu, simeoni aliingia hekaluni; na wazazi wa yesu walipomleta hekaluni mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa na sheria,

Inglese

and he came by the spirit into the temple: and when the parents brought in the child jesus, to do for him after the custom of the law,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

basi, joka hilo likamkasirikia huyo mama, likajiondokea, likaenda kupigana na wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote wanaotii amri za mungu na kuuzingatia ukweli wa yesu.

Inglese

and the dragon was wroth with the woman, and went to make war with the remnant of her seed, which keep the commandments of god, and have the testimony of jesus christ.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ya kuwa mtumishi wa yesu kristo kwa watu wa mataifa. ni jukumu langu la kikuhani kuihubiri habari njema ya mungu ili watu wa mataifa mengine wapate kuwa dhabihu inayokubaliwa na mungu, dhabihu iliyotakaswa na roho mtakatifu.

Inglese

that i should be the minister of jesus christ to the gentiles, ministering the gospel of god, that the offering up of the gentiles might be acceptable, being sanctified by the holy ghost.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mimi petro, mtume wa yesu kristo nawaandikia ninyi wateule wa mungu baba, ambao mmetawanyika na mnaishi kama wakimbizi huko ponto, galatia, kapadokia, asia na bithunia.

Inglese

peter, an apostle of jesus christ, to the strangers scattered throughout pontus, galatia, cappadocia, asia, and bithynia,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mimi simoni petro, mtumishi na mtume wa yesu kristo, nawaandikia ninyi ambao, kwa wema wake mungu wetu, na mwokozi yesu kristo, mmejaliwa imani ileile ya thamani kuu tuliyojaliwa sisi.

Inglese

simon peter, a servant and an apostle of jesus christ, to them that have obtained like precious faith with us through the righteousness of god and our saviour jesus christ:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na ndugu wote walio pamoja nami, tunayaandikia makanisa yaliyoko galatia. mimi nimepata kuwa mtume si kutokana na mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu, bali kwa uwezo wa yesu kristo na wa mungu baba aliyemfufua yesu kutoka wafu.

Inglese

and all the brethren which are with me, unto the churches of galatia:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ukweli kwamba 'ufunuo' huo ulitokea odza, mtaa ulio karibu na nsimalen, mtaa ambao mariamu, mama wa yesu aliwahi kuripotiwa kutokea, mwaka 1986 ulimaanisha jambo kwa wengi:

Inglese

the fact that the apparition occurred in odza, which is next to nsimalen, a neighborhood where there was an apparition of mary, jesus' mother, in may 1986 was not lost on many:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,777,345,579 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK