Hai cercato la traduzione di ongeza muda unaotumika katika tov... da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

ongeza muda unaotumika katika tovuti yako

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

mtoa maoni katika tovuti alikubaliana na uamuzi ule:

Inglese

a commenter on her site agreed with her decision:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ephrem l anaandika katika tovuti ya togosite.com:

Inglese

ephrem l on togosite.com writes:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi ya picha hizo zinazagaa katika tovuti za kushirikiana picha.

Inglese

a number of these photographs are also making the rounds on photo-sharing websites.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hata hivyo, haijakuwa rahisi, kama wanavyoeleza katika tovuti yao:

Inglese

however, it hasn't been easy, as they explain on their site:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtumiaji denunciar aliacha maoni yafuatayo katika tovuti ya :diario 20 minutos :

Inglese

the user denunciar left the following comment on the website of diario 20 minutos :

Ultimo aggiornamento 2023-12-15
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

haley, akiblogu katika tovuti inayoitwa ujasura kama mwanafunzi balozi, ana hili la kusema:

Inglese

haley, blogging on adventures as an ambassadorial scholar, says:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakati vuguvugu la mapinduzi likiendelea uarabuni matukio kadhaa ya vijana wenye hasirayamezuka katika tovuti za senegal.

Inglese

as uprisings continue across the arab world, several incidences of angry young people have sprung up on senegalese websites.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakiawaaga baadhi ya watoto yatima (picha kutoka katika tovuti rasmi ya kijiji cha matumaini)

Inglese

saying goodbye to some of the orphans (photo from the village of hope official website)

Ultimo aggiornamento 2023-09-08
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwongozo rasimu wa usafi wa mikono wa shirika pia unaweza unaweza kupatikana katika tovuti ya shirika kwa maoni ya umma.

Inglese

the draft guidance of hand hygiene by the organization can also be found at its website for public comment.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

haya ni masuala ambayo tumeyajadili mara nyingi katika tovuti hii lakini imekuwa vyema kuona masuala hayo yameletwa tena kupitia filamu hii.

Inglese

these are issues we have discussed many times on this website but it is good to see them brought together in this video.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

endelea kufuatilia kesho tunashinda kwa wingi kwenye bangbet tovuti yako nambari moja ya kamari unaweza kuamini

Inglese

stay tuned tomorrow we are winning big on bangbet your number one betting site u can trust

Ultimo aggiornamento 2022-01-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nilisikitishwa kidogo jana pale nilipoona kichwa kikubwa cha habari katika tovuti ya modern ghana “rawlings hana pa kuishi”.

Inglese

i was a bit sad when i saw the bold headline at modern ghana website yesterday; “rawlings homeless”.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kuanzia mwezi wa agosti 2006, wakati redio zamaneh ilipoanzishwa, tumewahusisha na kuwatangaza mabloga katika tovuti yetu na katika programu za redio yetu.

Inglese

since august 2006, when radio zamaneh started, we have actively promoted bloggers on our site and in our radio programs.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kampeni kabambe ya rais wa sri lanka aliye madarakani, mahinda rajapakshe inajumuisha manunuzi ya nafasi za matangazo katika tovuti mashuhuri za vyombo vya habari duniani.

Inglese

sri lanka's incumbent president mahinda rajapakshe's aggressive re-election campaign includes purchasing banner ads on leading global media sites.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

katika mkusanyiko huu wa habari katika tovuti ya nacion.cl, kuna picha kadhaa za watu wakielekea kwenye maeneo ya vilima na madhara ya kiwango fulani yalisababishwa na tetemeko hilo.

Inglese

in this storify collection by nacion.cl, there are several pictures of people moving to higher ground and some damages caused by the earthquake.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

katika tovuti ya uandishi wa kiraia, agoravox, illiouchine, metropolitanin , anaelezea hali ilivyokuwa katika guadeloupe mwishoni mwa juma na utulivu uliofuatia baada ya ghasia za usiku wa jumatatu.

Inglese

on the citizen media website, agoravox, illiouchine, a métropolitain , describes the scene in guadeloupe this weekend and the calm that followed monday night's violence, an unfortunate turn of events

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

akitoa maoni yake katika habari inayopatika katika tovuti ya monitor, nkuutu anashauri kuwa mbunge huyu azingatie kwenye masomo kwa kuwa anaweza kupoteza kiti cha ubunge muda wowote, hali itakayomlazimu kutafuta kazi:

Inglese

commenting on a story on the monitor website, nkuutu urges advises the mp to concentrate on her studies, as the mp seat can be lost at anytime and she may have to look for a job:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

taariza zaidi kuhusu sheria ya uhuru wa kupata taarifa inapatikana katika tovuti ya tume ya kulinda haki ya kupata taarifa za umma na jukwaa la umoja wa upashanaji habari za kiraia "haki ya kujua."

Inglese

more information about the foi law is available on the website of commission for protection of the right to free access to public information and the informative civil society portal "right to know."

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

katika tovuti ya jukwaa maarufu la kublogu la nchini china, sina weibo, sheria hii mpya imeonekana kudhihakiwa ambapo wengi wanakejeli kwa kusema kuwa utekelezaji wa sheria hii una walakini kwani kuwatembelea wazazi lilipaswa kuwa jambo la kijamii lililohitaji uhamasishaji wa kawaida badala ya kushurutishwa kwa sheria.

Inglese

the new law has triggered ridicule on china's most popular microblogging website sina weibo, with many quipping that the enforcement of the law is questionable and visiting parents should be a moral issue to be encouraged rather than a law that should be enforced.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

1.“ghana decides” imetoa taarifa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kwa kutumia alama za vinasaba katika tovuti yake (http://ghanadecides.com).

Inglese

1. ghana decides has provided information on the biometric registration its website (http://ghanadecides.com).

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,761,599,536 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK