Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
sasa ni saa sita mchana
it is now six o'clock
Ultimo aggiornamento 2021-11-22
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sasa ni saa ngapi kwa mifani
what time is it now for examples
Ultimo aggiornamento 2022-01-31
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sasa ni saa kumi na nusu za jioni
now it's 4 o'clock
Ultimo aggiornamento 2023-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lakini sasa ni watu wa ajabu kwa namna gani?
but just how crazy?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lakini tatizo muhimu zaidi sasa ni maumivu haya ya kifua
but a more important problem now is this chest pain
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
jiji lenye minara elfu sasa ni jiji lenye nguzo elfu!
the city of a thousand minarets is now the city of a thousand pillars!
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
malipo ya mahari ilikuwa kazi...baada ya mpesa sasa ni rahisi
#beforempesa payment of dowry has been hectic...after mpesa it's now easier @safaricomltd pic.twitter.com/fwue0dx2u5 — cleo (@cleophas65) march 14, 2014
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
emin na adnan sasa ni rasmi kwamba ni ‘wahuni’.
emin and adnan are officially hooligans.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
chenge bado yupo bungeni na kwa sasa ni mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge.
chenge is still in parliament and currently serves as the chairman of the powerful parliamentary budget committee.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mapendekezo yaliyopokewa mpaka hivi sasa ni mengi na yanajumuisha tathmini ya nguvu za serikali.
the petitions received to date vary and include calls for a review of the powers of the executive.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sisi ni tunacho uliza sasa ni kwa serikali kufuta leseni zote za ambazo zimetolewa.”
what we’re asking now is for the government to cancel all the licenses that have been granted.”
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hivi sasa ni majeshi ya kulinda amani ya umoja wa mataifa pekee yaliyopo kuzuia majeshi ya nkunda kuuteka mji wa goma.
now there is only the un peacekeeping forces stopping nkunda’s rebels from taking goma.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa sasa, ni wakati wa kusaidiana na kuunda nafasi ya kazi muhimu ambayo itakuwa ikija katika wiki na miezi ijayo.
for now, it is time to support one another and create space for the important work that will be coming in the weeks and potentially months ahead.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
nikwambie kitu wewe ni msenge halafu unafirwa choko we ndio maana umemaindi. fala we, sasa ni kweli chuma km hicho mwananume unaanzaje kubinuliwa
let me tell you something you are a screwdriver and then you are being ripped apart we are why you have ripped him off. fala we, now it's really steel km that man how do you start being blown
Ultimo aggiornamento 2023-04-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
cameroon kwa sasa ni kati ya nchi kumi maarufu za kiafrika zenye ujazo mkubwa wa twiti, ingawa twiti nyingi zinatokea kwenye miji ya douala na yaoundé.
cameroon is now among the top-ten african countries in terms of the tweeted volumes, though tweeting is heavily concentrated on douala and yaoundé.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
tulilazimika kuondoa mapambo yote tuliyopamba na ilikuwa ya kusikitisha sana kwa sababu tulitarajia babu na bibi zetu kuja kila mtu alikuwa na huzuni kweli na ilikuwa ndio ndio kwani tuliwaona kitu pekee ninachotamani kuonyesha sasa ni kuwaona.
we had to remove all the decorations we had decorated and it was very sad because we expected our grandparents to come everyone was really sad and it was oh yeah since we saw them the only thing i wish show now is to see them
Ultimo aggiornamento 2021-08-19
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:
Riferimento:
uteuzi huu utagusa hisia za watu wengi. kazi sasa ni kwa michel. matokeo mabaya ya harambee stars hasa kwa miaka minne ya hapa baadaye ni jambo ambalo mashabiki wengi wangependa kulisahau.
this appointment will prompt various views and michel's job is full on from the word go.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa hiyo tafsiri yangu ni kwamba jambo pekee jipya linalowezekana kupitia kauli kama hizi ni kuwepo kwa uwezekano kwamba sasa baadhi ya watu wanaweza kuanzisha shule za sekondari zinazofundisha kwa kiswahili, na kwamba sasa ni rasmi mamlaka za serikali za mitaa zinaweza kugeuza shule za msingi zilizopo kuwa za kiingereza.
so my interpretation is that the only new thing made possible by such statements is that it is possible now for some people to establish swahili medium secondary schools, and it is now official that local government authorities can convert existing primary schools to become english medium.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ushahidi uliopo hadi sasa ni kwamba 80% ya watu walio na covid-19 wana hali ya wastani ya ugonjwa, yaani maambukizi ya njia ya pumu au bila nimonia na wengi wao walipona.
evidence to date is that ca 80% of individuals with covid-19 have a mild disease, i.e. a respiratory tract infection with or without pneumonia, and most of these recover.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
wakati ambapo hivi sasa ni jambo la kawaida kuona blogu nyingi zinazoanzishwa na vijana wanaojadili masuala ya kijamii, ya kiteknolojia au ya kibinafsi, sasa kuna hata pia blogu zenye kubeba ujumbe wa imani ya buda kama vile bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.
while it is now common to see many blogs initiated by young people who discuss social, technological or personal issues, there are now buddhism-themed blogs such as bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.