Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
mwenyekiti wa bunge la taifa la serikali ya watu
chairman of the national assembly of people's power
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tuzo ya udhibiti ya majanga – shirika la taifa la majisafi na majitaka
crisis management award – national water and sewerage corporation
Ultimo aggiornamento 2024-03-20
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
baraza la taifa la elimu ya sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:
the national syndicate for secondary education issued a statement condemning the arbitrary transfer:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
uchaguzi wa rais na bunge la taifa la namibia ulifanyika tarehe 27 na 28 novemba 2009.
namibia's presidential and national assembly elections took place on 27–28 november 2009.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
waandamanaji wanataka makampuni matatu nchini bulgaria ambayo ni cez, evn na energo-pro yataifishwe na shirika la shirika la taifa la umeme.
the protesters are demanding the nationalization of bulgaria's three power utilities – cez, evn, and energo-pro, with the national electric company nek.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nchini ufaransa, ili tafiti zozote za umma zifanikiwa, shirika la taifa la utafiti nchini humo linaeleza namna utafiti unavyoweza kufadhiliwa nchini humo :
for public research, the french national research agency uses a few numbers to explain how research is financed in france :
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kama mapigano baina ya waasi wa sékéla na jeshi la taifa la jamhuri ya afrika ya kati vinaendelea, mvutano katika mji wa bossangoa.
as the conflict between the rebels of sékéla and the national army of the central african republic rages on, tension mounts in the city of bossangoa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
bunge la taifa la togo limepiga kura ya kukomesha adhabu ya kifo na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama wa 15 wa umoja wa nchi za afrika kuipiga marufuku adhabu hiyo.
togo's national assembly voted on tuesday to end the death penalty for all crimes, making it the 15th member of the african union to abolish capital punishment.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa mujibu wa gazeti la the new york times, serikali ya jiangmen tayari imeshaweka mkataba na shirika la taifa la nyuklia la china katika kufadhili mradi huu kwa kiasi cha dola bilioni sita za kimarekani.
according to the new york times, jiangmen authorities have already signed an agreement with the china national nuclear corporation to house the six billion us dollar project.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
katika toleo la hivi karibuni jarida hilo lilionyesha ukuaji wa kasi wa pato la taifa la nchi nyingi za kiafrika (gdp).
their most recent publication highlights the rapid growth of many african countries' gdp.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
shirika la utangazaji la taifa cctv liliweka wazi mnamo tarehe 28 juni kuwa china inatarajia kupata yuani trilioni 8 (sawa na dola trilioni 1.18) katika mapato ya fedha kufikia mwisho wa 2010.
the state broadcaster cctv revealed in june 28 that china is expected to receive 8 trillion yuan ($1.18 trillion) in financial revenue by the end of 2010.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
katika shirika la utafiti la taifa nchini ufaransa (cnrs) kwa mfano, pamoja na kuwa na nguvu kazi imara, ruzuku kutoka serikalini iliongezeka kwa euro 293 bilioni kati ya mwaka 2006 na 2011.
at the french national centre for scientific research (cnrs), with a stable employee workforce, public subsidy increased by 293 billion euros between 2006 and 2011.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
moncef marzouki, mnamo desemba 12, bunge la taifa la kikatiba lilimchagua mwanaharakati wa haki za kibinadamu moncef marzouki, ambaye aliwahi kuwekwa jela, na kulazimishwa kuishi uhamishoni wakati wa utawala wa ben ali, kuwa rais mpya wa jamhuri ya tunisia..
on december 12, the national constituent assembly elected human rights activist moncef marzouki, who was imprisoned, and exiled under ben ali' regime, as the new president of the republic of tunisia.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mchoro unaoonyesha namna fedha za utafiti zinavyopatikana nchini ufaransa - kwa matumizi ya umma.tafiti nchini ufaransa zinafadhiliwa na vyuo vikuu, vyombo vya tafiti, na shirika la utafiti la taifa(anr).
public research funding in france - public domain.research in france is financed by universities, research bodies, and the national agency for research (anr).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tshering tobgay, kiongozi wa chama cha upinzani katika bunge la taifa la bhutan, anatoa maoni kuwa: “mpito wetu kuelekea demokrasi, kwa hakika, umetukia bila mikwaruzo.
tshering tobgay, the leader of the opposition party in the national assembly of bhutan, comments that: "the transition to our democracy has, indeed, been uniquely smooth.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
shirika la ujasusi na usalama wa taifa la sudani (niss) lilijimwaga mitaani na kuendesha kampeni kubwa ya kamatakamata, ambapo liliwakamata maelfu ya waandamanaji, wanaharakati, wanachama wa vyama vya upinzani vya kisiasa na viongozi na hata raia wanaoitii sheria waliokutwa maeneo ya maandamano, vyuo vikuu, maeneo ya umma na hata kwenye nyumba za watu, kufuatia maandamano ya kupinga utawala ulio madarakani yaliyoanza katikati ya mwezi juni.
the sudanese national intelligence and security service (niss) launched a heavy-handed campaign in mid-june 2012, arresting thousands of protesters, activists, political party members and leaders and even law-abiding citizens from protest sites, universities, public places and in many cases people’s homes, following anti-regime protests.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini, hatua hii haikuweza kuwaridhisha raia, ambapo, tarehe 13 julai katika mkutano na vyombo vya habari, serikali ilitangaza kuwa,"kwa kuheshimu maoni ya wananchi, mradi huu hautaidhinishwa" , pamoja na kuwa utawala wa jiji ulikuwa tayari umeshaingia kandarasi ya awali na shirika la taifa la nyuklia la china (cnnc).
but this move failed to pacify local residents and at a press conference on july 13 they announced, "with respect to public opinion, the project would not be approved" , even though the city government had already signed the initial agreement with china national nuclear corp (cnnc).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta