Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
vyuo vya wastani
average colleges
Ultimo aggiornamento 2023-06-19
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
yeye ni wastani wa urefu
two feet
Ultimo aggiornamento 2025-02-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
maji yalifurika na kufikia wastani wa kima cha kiuno.
water level rose up to the waist level.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hispania, katika 22%, ni vizuri chini ya wastani:
spain, at 22%, is well below average:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa wastani.
prisons were reported to be overcrowded by 45 per cent on average.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na hapo tunazungumzia nyakati zile ambazo watu hujazana wa kiwango cha wastani.
and that’s the average hangout.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
idadi hiyo inafanya wastani wa mapendekezo yanayofikia 87 kwa kila kundi shindanishi.
that averages about 87 nominations per category.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
meksiko ina wastani wa juu zaidi wa utekaji ikilinganishwa na nchi yoyote ile duniani.
mexico has the highest number of kidnappings per capita of any country in the world.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
duniani kote, wastani wa vijana milioni 1.3 walipoteza maisha yao mwaka 2012.
worldwide, an estimated 1.3 million adolescents died in 2012.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini wanablogu wengi wa kihindi waliupokea ushindi wa slumdog millionaire kwa furaha ya wastani.
but many indian bloggers were tepid in acknowledging the feat of 'slumdog millionaire'.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
virusi vinne kali vya korona hutokea wakati wa msimu wa baridi katika hali ya hewa ya wastani.
the four mild coronaviruses have a seasonal incidence occurring in the winter months in temperate climates.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa binadamu, virusi vya korona husababisha maambikizo ya njia ya pumu yanayoweza kuwa ya wastani au mbaya zaidi.
in humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can range from mild to lethal.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
(gmt 12:00) mstari wa tarehe wa kimataifa mashariki/saa wastani za nyuzilandi
mymemory warning: you used all available free translations for today. visit http://mymemory.translated.net/doc/quotareached to translate more
Ultimo aggiornamento 2017-08-31
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hata hivyo, wagonjwa waliohamishwa kwa chumba cha hali mahututi walikuwa na muda wastani wa siku saba kati ya kulazwa hospitalini na kufa.
however, patients transferred to an icu had a median time of seven days between hospitalisation and death.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa.
its expiation is the feeding of ten needy (people) with such food as you normally offer to your own people; or the clothing of them; or the freeing of a slave.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hata hivyo, uchunguzi kwenye visa 1,099 unaonyesha kwamba kipindi cha kuatamia kwake kilikuwa siku 3 kwa wastani na kilikuwa kati siku 0 hadi 24.
however, a study on 1,099 cases demonstrates that the incubation period was 3 days on average and ranged from 0 to 24 days.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
covid-19 ilichukua idadi ya wastani ya siku 5 (siku 2-9) kutoka mwanzo mwa uchunguzi.
covid-19 took an average of 5 (2-9) days from onset to diagnosis.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lakini jambo la kipekee kuhusu malkia rania ni kwamba yeye ni muarabu pekee maarufu anayetumia mtandao wa intaneti kwa ajili ya mazungumzo na ulimwengu wa magharibi ili kutetea mtazamo wa wastani wa kiislamu.
but what is unique about queen rania is that she is the only arab figure who uses the internet to engage in a dialogue with the west to promote a moderate islamic speech.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
"(clinton) awe muangalifu na asiseme kuwa waislamu wa indonesia wana "siasa za wastani" kama wanavyosema wanadiplomasia wageni.
"(clinton) should be careful not to say that muslims in indonesia are “moderate,” as most diplomatic visitors like to say.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
ninashindwa kuelewa ni kwa jinsi gain hii inaweza kuwa mada isiyo na maana wakati, kwa wastani, huwa tunakwenda chooni mara 2500 kwa mwaka, au mara 6-8 kwa siku.
i fail to understand how this can be an unimportant topic when, on an average, we visit the toilet 2500 times a year, or 6-8 times a day.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: