Hai cercato la traduzione di ionekane da Swahili a Latino

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Latin

Informazioni

Swahili

ionekane

Latin

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Latino

Informazioni

Swahili

basi, sisi tulio na hazina hii tuko tu kama vyombo vya udongo, ili ionekane wazi kwamba nguvu hiyo kuu yatoka kwa mungu wala si kwetu sisi wenyewe.

Latino

habemus autem thesaurum istum in vasis fictilibus ut sublimitas sit virtutis dei et non ex nobi

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, nimewatuma ndugu zetu hao, ili fahari yetu juu yenu ionekane kwamba si maneno matupu, na kwamba mko tayari kabisa na msaada wenu kama nilivyosema.

Latino

misi autem fratres ut ne quod gloriamur de vobis evacuetur in hac parte ut quemadmodum dixi parati siti

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hivyo, ingawa niliandika ile barua, haikuwa kwa ajili ya yule aliyekosa, au kwa ajili ya yule aliyekosewa. niliandika kusudi ionekane wazi mbele ya mungu jinsi mlivyo na bidii kwa ajili yetu.

Latino

igitur et si scripsi vobis non propter eum qui fecit iniuriam nec propter eum qui passus est sed ad manifestandam sollicitudinem nostram quam pro vobis habemus ad vos coram de

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu akajibu, "jambo hili halikutukia kwa sababu ya dhambi zake yeye, wala dhambi za wazazi wake; ila alizaliwa kipofu ili nguvu ya mungu ionekane ikifanya kazi ndani yake.

Latino

respondit iesus neque hic peccavit neque parentes eius sed ut manifestetur opera dei in ill

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

je, hii inamaanisha kwamba kile kilicho kizuri kimesababisha kifo changu? hata kidogo! iliyo ni kwamba, dhambi, ili ionekane dhahiri kuwa ni dhambi, imekitumia kile kilicho kizuri na kusababisha kifo changu. hivyo dhambi, kwa njia ya ile amri, ilijionyesha kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.

Latino

quod ergo bonum est mihi factum est mors absit sed peccatum ut appareat peccatum per bonum mihi operatum est mortem ut fiat supra modum peccans peccatum per mandatu

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,747,270,727 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK