Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kwake yeye uwe utukufu milele! amina.
cui est gloria in saecula saeculorum ame
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, huduma ya roho ina utukufu mkuu zaidi.
quomodo non magis ministratio spiritus erit in glori
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
naam, ninyi ni utukufu wetu na furaha yetu!
vos enim estis gloria nostra et gaudiu
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
watu wote wametenda dhambi na wametindikiwa utukufu wa mungu.
omnes enim peccaverunt et egent gloriam de
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na wakati mchungaji mkuu atakapotokea, ninyi mtapokea taji ya utukufu isiyofifia.
et cum apparuerit princeps pastorum percipietis inmarcescibilem gloriae corona
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
je, haikumpasa kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?"
nonne haec oportuit pati christum et ita intrare in gloriam sua
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hapo watamwona mwana wa mtu akija katika mawingu kwa nguvu nyingi na utukufu.
et tunc videbunt filium hominis venientem in nubibus cum virtute multa et glori
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"utukufu kwa mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao!"
gloria in altissimis deo et in terra pax in hominibus bonae voluntati
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
sasa, baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
et nunc clarifica me tu pater apud temet ipsum claritatem quam habui priusquam mundus esset apud t
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ila furahini kwamba mnashiriki mateso ya kristo ili mweze kuwa na furaha tele wakati utukufu wake utakapofunuliwa.
sed communicantes christi passionibus gaudete ut et in revelatione gloriae eius gaudeatis exultante
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ndugu zangu, mkiwa mnamwamini bwana yesu kristo, bwana wa utukufu, msiwabague watu kamwe.
fratres mei nolite in personarum acceptione habere fidem domini nostri iesu christi gloria
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mji huo hauhitaji jua wala mwezi kuangazia, maana utukufu wa mungu huuangazia, na taa yake ni yule mwanakondoo.
et civitas non eget sole neque luna ut luceant in ea nam claritas dei inluminavit eam et lucerna eius est agnu
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa hiyo, nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa ajili yenu, maana hayo ni kwa ajili ya utukufu wenu.
propter quod peto ne deficiatis in tribulationibus meis pro vobis quae est gloria vestr
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
namwomba mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,
ut det vobis secundum divitias gloriae suae virtute corroborari per spiritum eius in interiore homin
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
gloria autem et honor et pax omni operanti bonum iudaeo primum et graec
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wakawa wanasema: "abarikiwe mfalme ajaye kwa jina la bwana. amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!"
dicentes benedictus qui venit rex in nomine domini pax in caelo et gloria in excelsi
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, mungu aliwaita wale aliokuwa amewateua; na hao aliowaita aliwakubali kuwa waadilifu; na hao aliowakubali kuwa waadilifu aliwashirikisha pia utukufu wake.
quos autem praedestinavit hos et vocavit et quos vocavit hos et iustificavit quos autem iustificavit illos et glorificavi
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika utawala wake wa mbinguni. kwake uwe utukufu milele na milele! amina.
liberabit me dominus ab omni opere malo et salvum faciet in regnum suum caeleste cui gloria in saecula saeculorum ame
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini twamwona yesu ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika, ili kwa neema ya mungu afe kwa ajili ya watu wote. sasa tunamwona ametawazwa kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.
eum autem qui modico quam angeli minoratus est videmus iesum propter passionem mortis gloria et honore coronatum ut gratia dei pro omnibus gustaret morte
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"baba! nataka wao ulionipa wawe pamoja nami pale nilipo, ili wauone utukufu wangu ulionipa; kwa kuwa ulinipenda kabla ya kuumbwa ulimwengu.
pater quos dedisti mihi volo ut ubi ego sum et illi sint mecum ut videant claritatem meam quam dedisti mihi quia dilexisti me ante constitutionem mund
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta