Hai cercato la traduzione di kadiri da Swahili a Spagnolo

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Spagnolo

Informazioni

Swahili

sisi hatumkalifishi mtu ila kwa kadiri ya uwezo wake.

Spagnolo

no pedimos a nadie sino según sus posibilidades.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa.

Spagnolo

alá no pide a nadie sino lo que le ha dado.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni.

Spagnolo

si alguien os agrediera, agredidle en la medida que os agredió.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na wala hawakumhishimu mwenyezi mungu kama anavyo stahiki kadiri yake.

Spagnolo

no han valorado a alá debidamente.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu haikalifishi nafsi yoyote ila kwa kadiri ya iwezavyho.

Spagnolo

alá no pide nada a nadie más allá de sus posibilidades.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ameteremsha maji kutoka mbinguni. na mabonde yakamiminika maji kwa kadiri yake.

Spagnolo

ha hecho bajar del cielo agua, que se desliza por los valles, según la capacidad de éstos.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wote wakajazwa roho mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri roho alivyowawezesha.

Spagnolo

todos fueron llenos del espíritu santo y comenzaron a hablar en distintas lenguas, como el espíritu les daba que hablasen

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jarida la the guardian linatoa habari za mpya kadiri zinavyojitokeza kuhusiana na janga hilo.

Spagnolo

the guardian está publicando actualizaciones en directo sobre el desastre.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.

Spagnolo

vendían sus posesiones y bienes, y los repartían a todos, a cada uno según tenía necesidad

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wawekeni humo humo mnamo kaa nyinyi kwa kadiri ya pato lenu, wala msiwaletee madhara kwa kuwadhiki.

Spagnolo

¡alojadlas, según vuestros medios, en vuestra misma vivienda! ¡no les hagáis daño con ánimo de molestarlas!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

malaika na roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!

Spagnolo

los ángeles y el espíritu ascienden a Él en un día que equivale a cincuenta mil años.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenye wasaa atoe kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atoe katika alicho mpa mwenyezi mungu.

Spagnolo

¡que el acomodado gaste según sus medios! quien disponga de medios limitados ¡que gaste según lo que alá le haya dado!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hivi sasa sote tunafahamu kuwa malema amekuwa akiwatukana watu pamoja na wanachama wakongwe wa anc na vyama wabia kadiri anavyopenda.

Spagnolo

ahora, todos sabemos que malema ha estado insultando gente, incluyendo a los miembros superiores del cna y sus aliados.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

bali mwenyezi mungu humtakasa amtakaye. na hawatadhulumiwa hata kadiri ya kijiuzi kilichomo ndani ya uwazi wa kokwa ya tende.

Spagnolo

no, es alá quien declara puro a quien Él quiere y nadie será tratado injustamente en lo más mínimo.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kadiri familia inavyozidi kuzoea nchi za kigeni pamoja na mazingira mapya, hali ya kukosa amani inajitokeza katika familia ya amer na raghda.

Spagnolo

conforme la familia intenta adaptarse a los nuevos países y ambientes, las tensiones empiezan a aparecer en el matrimonio entre amer y raghda.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kadiri harakati hizo zikiendelea kukua na kusambaa nje ya mtandao wa intaneti, jeshi la polisi la nchi hiyo limeanza kutumia nguvu kupambana na waandamanaji.

Spagnolo

mientras su activismo en internet crece, fuera de internet los miembros de la policía federal etíope han comenzado a usar la fuerza contra los manifestantes.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuwa katika nchi ya ujamaa, hatuwezi kuyawazia mambo ya namna hii, kadiri ya unavyoyatafakari mambo haya, ndivyo utakavyozidi kujisikia vibaya.

Spagnolo

un país socialista, no podemos pensar en esas cosas; más piensas en ellas, peor te sentirás.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kadiri tafsiri zinavyojitokeza (tazama hapo juu), tafadhali washirikishe wengine pia viungo kupitia mitandao ya kijamii na marafiki!

Spagnolo

a medida que aparezcan las traducciones (ver abajo), por favor, ¡siéntete en libertad de compartir los enlaces en redes sociales y con amigos!

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kadiri siku za kupiga kura zilivyokaribia, kura za maoni zimeonesha ongezeko la wananchi waliokosa imani na sserikali ya rais goodluck jonathan na hivyo mwanajeshi mstaafu muhamudu buhari ameonekana kuwa anaweza kushinda kwenye uchaguzi huo.

Spagnolo

a medida que se acerca la elección, las encuestas de opinión han mostrado creciente insatisfacción con el gobierno del jonathan y el buhari ha surgido como un posible ganador de la elección.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

habari rasmi (kwa mujibu wa reuters, al jazeera) zinaeleza kuwa vifo vinafikia 25 kwa kadiri ya picha zinavyozidi kumiminika kwenye televisheni ya taifa.

Spagnolo

envíos informativos (reuters, al jazeera) informan hasta 25 muertos mientras las imágenes siguen fluyendo en televisión nacional.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,951,613,403 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK