検索ワード: precedente (イタリア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Italian

Swahili

情報

Italian

precedente

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

イタリア語

スワヒリ語

情報

イタリア語

e per te l'altra vita sarà migliore della precedente.

スワヒリ語

na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

vi ho scritto nella lettera precedente di non mescolarvi con gli impudichi

スワヒリ語

niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

un appello a manifestare è venuto da #sandstormfriday il giorno precedente.

スワヒリ語

wito wa maandamano ulitolewa kupitia alama habari ya #sandstormfriday siku moja kabla.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

se non fosse per una precedente parola del tuo signore, già sarebbe stato deciso tra loro.

スワヒリ語

na lau kuwa haikwisha tangulia kauli kutoka kwa mola wako mlezi ya kuakhirisha mpaka muda maalumu, basi bila ya shaka palingeli hukumiwa baina yao.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

se non fosse stato per un decreto precedente del tuo signore, già sarebbe stato giudicato tra loro.

スワヒリ語

na lau kuwa si neno lilio kwisha tangulia kutoka kwa mola wako mlezi, bila ya shaka ingeli hukumiwa baina yao.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

su uno, la data di scadenza era precedente alla data di produzione, perciò sapevamo che qualcosa non andava!”

スワヒリ語

kuna moja, ambayo ilikuwa iharibike kabla siku yake ya kutengenezwa, na papo hapo tukajua kuwa hiyo haikuwa dawa halali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

community life project si è schierata con successo dalla parte della piattaforma per aver promosso trasparenza elettorale nella fase precedente al voto delle elezioni 2011.

スワヒリ語

mradi wa maisha ya jamii uliweza kwa mafaniko makubwa kulitumia jukwaa hili kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi katika kipindi cha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

se non fosse stato per una precedente rivelazione di allah, vi sarebbe toccato un castigo immenso, per quello che avete preso.

スワヒリ語

lau isingeli kuwa hukumu iliyo kwisha tangulia kutoka kwa mwenyezi mungu ingeli kupateni adhabu kubwa kwa vile mlivyo chukua.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

se non fosse stato per una precedente parola del tuo signore e per un termine già stabilito, già [tutto questo] sarebbe avvenuto.

スワヒリ語

na lau kuwa si neno lililo kwisha tangulia kutoka kwa mola wako mlezi na muda ulio wekwa, bila ya shaka inge fika adhabu (hapa hapa).

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

come conseguenza la francia si è ritirata dagli eventi commemorativi e il precedente ministro degli affari esteri francesi ha chiesto che il presidente hollande difenda l'onore del paese e delle sue forze armate.

スワヒリ語

kama matokeo ya matamshi hayo, serikali ya ufaransa imesusia matukio yote ya kukumbuka mauaji hayo na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa ufaransa anamtaka rais hollande kutetea heshima ya ufaransa na jeshi lake .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

da parte sua, mohamed ould rabani, segretario generale del sindacato indipendente degli insegnanti della scuola secondaria, critica aspramente il trasferimento definendolo un pericoloso precedente nella storia della mauritania e chiedendo ai colleghi di dissociarsi dagli ordini ministeriali.

スワヒリ語

kwa upande wake, mohamed ould rabani, katibu mkuu wa baraza hru la walimu wa shule za sekondari, waliuponda uhamisho huo kama hatua ya hatari katika historia ya mauratania na kuwaomba wenzake kutokutii amri ya wizara.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

il problema che sta alla base è il fatto che le compagnie pagano ai loro operai assunti ufficialmente quattro volte il salario che invece pagano ai "journalia", ed hanno anche aumentato i loro salari, ignorando invece le richieste dei journalia, creando così, a detta dei sindacalisti, un pericoloso precedente che potrebbe portare ad una escalation di proteste ed al precipitare della situazione all'interno delle compagnie.

スワヒリ語

tatizo liko katika ukweli kwamba makampuni haya hulipa wafanyakazi wake walio rasmi kwa mujibu wa sheria mara nne ya mishahara wanaoyowalipa "journalia," na pia imeongeza mishahara yao wakati ilipuuza madai ya wafanyakazi wa journalia, ambayo kwa mujibu wa vyama vya wafanyakazi, jambo hilo ni hatari na ambalo inaweza kusababisha kutokea kwa milipuko kazini dhidi ya uchumi wa makampuni hayo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,965,013 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK