プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
aga kristus kui poeg on tema koja üle; ja tema koda oleme meie, kui me julguse ning lootuse kiitlemise hoiame otsani kindla.
lakini kristo ni mwaminifu kama mwana mwenye mamlaka juu ya nyumba ya mungu. sisi ni nyumba yake kama tukizingatia uhodari wetu na uthabiti wetu katika kile tunachotumainia.
aga kui otsides õigekssaamist kristuses, meiegi osutume patusteks, kas on siis kristus patu teenija? ei sugugi mitte!
sasa, ikiwa katika kutafuta kukubaliwa kuwa waadilifu kwa kuungana na kristo sisi tunaonekana kuwa wenye dhambi, je, jambo hili lina maana kwamba kristo anasaidia utendaji wa dhambi? hata kidogo!
aga kui sinu vend saab nukraks roa pärast, siis ei käi sina enam armastuse järgi. Ära saada hukka oma roaga seda, kelle eest kristus on surnud.
kama ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi na mapendo. usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine ambaye kristo alikufa kwa ajili yake!