検索ワード: zilizokuwa (スワヒリ語 - フランス語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

French

情報

Swahili

zilizokuwa

French

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

フランス語

情報

スワヒリ語

alisambaza jumbe zilizokuwa zikitoa vitisho kwa mamlaka za serikali pamoja na wanafamilia.

フランス語

il a diffusé des messages qui contenaient des menaces aux représentants des autorités et à leurs familles.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kufikia 13 machi, atlantiki iliripoti chini ya vipimo 14,000 zilizokuwa zimefanywa.

フランス語

le 13 mars, the atlantic a rapporté que moins de 14 000 tests avaient été réalisés.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alishangazwa na kile alichokiona na akaamua kutumia shilingi tano zilizokuwa zimebaki mfukoni kumnunulia ndizi pia.

フランス語

fasciné, il décide de lui acheter une banane avec les derniers sous qu’il a en poche.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nilifuatilia televisheni zilizokuwa zinaonesha sherehe, picha za kihistoria na hati za hayati mfalme wangu.

フランス語

j'ai regardé sur une chaîne la diffusion de la cérémonie et des films historiques ainsi que des documents sur feu mon grand roi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kelele za eropleni zilizokuwa zikisikika kutoka katika anga la jiji la conakry zimepungua kwa kiasi kikubwa kabisa.

フランス語

le vrombissement des avions dans le ciel de conakry a considérablement diminué.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nyiso za furaha zilizokuwa zikiniamkia, watu walinikaribisha kwa moyo mmoja, hadi nilipokuja kujifunza kuwa nilikuwa mtu wa peru.

フランス語

les visages souriant qui me saluent, des gens qui m'accueillent avec des mots aimables et les bras ouverts en apprenant que j'étais péruvienne.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutokana na viwango vya chini ya upimaji, kufikia machi 2020 hakuna nchi zilizokuwa na data ya kutegemeka kuhusu kusambaa kwa virusi miongoni mwa watu wake.

フランス語

en raison d’un dépistage limité, aucun pays ne disposait de données fiables au sujet de la prévalence du virus dans sa population en mars 2020.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

awali, serikali ilikanusha tetesi zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya mawaziri kuhusiana na kuzorota kwa afya yake, ikisema kwamba sata alikuwa imara na akiendelea na kazi.

フランス語

dans le passé, son administration niait les rumeurs répandues par des membres du gouvernement à propos de sa santé chancelante, soutenant que m. sata allait très bien et qu'il était occupé au travail.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi sasa, watu wanamlaani liato kwa zile bilioni 2.1 (zilizokuwa zimefukiwa ardhini) na liato alikuwa waziri kwa muda mrefu.

フランス語

en ce moment, les gens diabolisent liato pour une somme de k2.1 milliards alors que liato a été ministre pendant longtemps.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

caracas ulikuwa ni mji uliokuwa unapendeza, wenye majengo marefu, barabara kuu, barabara za kupandana, na barabara zilizokuwa zimefanyiwa ukarabati siku za karibuni.

フランス語

caracas était une ville moderne et rayonnante, avec des gratte-ciel, des autoroutes, des ponts routiers et des routes récemment repavées.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jaribio hili lilifanywa kwa ushirikiano na kitengo cha seroepidemiolojia ya phe na kuongezea kwenye sampuli zilizokuwa za damu zilizowasilishwa kwa phe na mahabara za huduma ya afya ya kitaifa (hhs).

フランス語

ce projet pilote a été mené en collaboration avec l’unité séro-épidémiologique de phe et les échantillons obtenus ont été ajoutés aux échantillons de sang restants envoyés à phe par les laboratoires du national health service (nhs).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tulichakua kwa makini kabisa makala zilizokuwa bora zaidi kutoka katika mfululizo wetu wa kuhusu mgogoro wa kiuchumi wa ulaya ambapo mfululizo huo ulianza majira ya machipuo ya 2011, na kuandikwa na vikundi vya waandishi wetu wa kimataifa wanaofanya kazi kwa bidii kama waandishi wa kiraia.

フランス語

il propose les articles les plus représentatifs de l'année écoulée sur les réactions face la crise sur les médias sociaux, sur les manifestations et mobilisations organisées par des citoyens qui traversent les temps difficiles de l'austérité, sur le vieux continent et au-delà.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutoka katika umati uliokusanyika mbele ya "bustani ya kumbukumbu" na ilipo kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, vilio vinasikika huku na kule, hivyo kukatisha hotuba rasmi zilizokuwa zikitolewa.

フランス語

depuis la foule amassée devant le « jardin de la mémoire » et le monument consacré au génocide, des cris jaillissent, perturbent les discours officiels.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"ushahidi", neno linalotokana na maana yake halisi ya kiswhaili, ilikuwa tovuti ambayo ilitengenezwa awali kwa ajili ya kutengeneza michoro inayotokana na taarifa za ghasia zilizokuwa zinapokelewa nchini kenya baada ya ghasia zilizofuatia uchaguzi mwanzoni mwa mwaka 2008.

フランス語

ushaidi, qui signifie « témoignage » en swahili est un site web développé à l’origine pour cartographier les actes de violence au kenya après l’élection présidentielle, début 2008.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,770,605,440 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK