検索ワード: anayeweza (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hakuna mtu anayeweza

英語

no one

最終更新: 2025-01-23
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inachukuliwa kuwa adui anayeweza

英語

health is ennemy

最終更新: 2025-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna mtu anayeweza kunipenda kuliko wewe

英語

no one can love me better than me

最終更新: 2023-12-12
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna mtu anayeweza kukuonyesha zaidi yanguupendo

英語

nobody can show you love

最終更新: 2023-03-23
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakuna mtu anayeweza kuniumiza bila ruhusa yangu

英語

nobody can hurt me without my permission

最終更新: 2021-09-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

upendo huacha kumbukumbu ambayo hakuna anayeweza kuiondoa" - # twakumbuka julai 11

英語

@mtnugandacare: "death leaves a heartache no one can heal, love leaves a memory no one can steal” – ‪#werememberjuly11

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hakuna anayeweza kukana mambo haya. hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.

英語

seeing then that these things cannot be spoken against, ye ought to be quiet, and to do nothing rashly.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mikataba ifuatayo hakukidhi sheria na sera za manunuzi za nchi na nyaraka za kuthibitisha namna yalivyoshinda tenda hizo hazionekani, na hakuna anayeweza kutoa maelezo.

英語

the following contracts did not meet the country’s procurement laws and policies and documentation to support the awarding of these contracts were missing, and unaccounted for.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

barakoa za uso za kimatibabu zinazuia matone ya majimaji kutoka wa mtu anayeweza kuwa ameambukizwa dhidi ya kusafirishwa hewani au kukwama kwenye sehemu za bidhaa, ambapo yanaweza kupitisha kwa watu wengine.

英語

surgical face masks prevent liquid droplets from a potentially infected individual from traveling through the air or sticking onto surfaces of materials, where they could be passed on to others.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?

英語

there is one lawgiver, who is able to save and to destroy: who art thou that judgest another?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uwezo wa kuishi kwa muda mrefu, makazi yenye wanyama wengi, miingiliano ya karibu ya kijamii na uwezo thabiti wa kuruka ni hali zinazomfanya popo kuwa 'mnyama anayeweza kueneza virusi'.

英語

longevity, densely packed colonies, close social interaction and strong ability to fly are all favourable conditions for bats to be an ideal 'virus spreader'.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;

英語

a bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,953,395,029 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK