検索ワード: apolo (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

apolo

英語

apollo

最終更新: 2012-06-05
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mimi nilipanda mbegu, apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni mungu.

英語

i have planted, apollos watered; but god gave the increase.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

jitahidi kumsaidia mwana sheria zena na apolo ili waweze kuanza ziara zao na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.

英語

bring zenas the lawyer and apollos on their journey diligently, that nothing be wanting unto them.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wakati apolo alipokuwa korintho, paulo alisafiri sehemu za bara, akafika efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa.

英語

and it came to pass, that, while apollos was at corinth, paul having passed through the upper coasts came to ephesus: and finding certain disciples,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

paulo, apolo na kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.

英語

whether paul, or apollos, or cephas, or the world, or life, or death, or things present, or things to come; all are yours;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kuhusu ndugu apolo, nimemsihi sana aje kwenu pamoja na ndugu wengine, lakini hapendelei kabisa kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.

英語

as touching our brother apollos, i greatly desired him to come unto you with the brethren: but his will was not at all to come at this time; but he will come when he shall have convenient time.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

myahudi mmoja aitwaye apolo, mzaliwa wa aleksandria, alifika efeso. alikuwa mtu mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa maandiko matakatifu.

英語

and a certain jew named apollos, born at alexandria, an eloquent man, and mighty in the scriptures, came to ephesus.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

apolo ni nani? na paulo ni nani? sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na bwana.

英語

who then is paul, and who is apollos, but ministers by whom ye believed, even as the lord gave to every man?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

apolo alipoamua kwenda akaya, wale ndugu walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi kule akaya wampokee. alipofika huko, aliweza kwa msaada wa neema ya mungu, kuwasaidia sana wale ndugu waliopata kuwa waumini;

英語

and when he was disposed to pass into achaia, the brethren wrote, exhorting the disciples to receive him: who, when he was come, helped them much which had believed through grace:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mmoja wenu anaposema, "mimi ni wa paulo", na mwingine, "mimi ni wa apolo", je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?

英語

for while one saith, i am of paul; and another, i am of apollos; are ye not carnal?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,009,059 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK