人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。
プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
hali bado ni sawa leo.
the situation remains the same today.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
bado ni mtoto mdogo.
she's still a child.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
hivi nigeria bado ni nigeria?
is nigeria still nigeria?
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
hili ndilo tatizo kubwa kwa sasa, sijui kama bado ni
this was the main problem, now i don't know if it's still the one
最終更新: 2023-09-15
使用頻度: 1
品質:
pamoja na mgogoro unaoitafuna burundi, kicheko bado ni afya.
despite the crisis engulfing burundi, laughter is still the best medicine.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
miaka sita sasa, chavez bado ni chaguo la raia walio wengi.
six years on, chavez still is the choice of the majority of my countrymen.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
tsvangirai anasema kwamba yeye bado ni kiongozi wa chama hicho.
tsvangirai says that he is still the party leader.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kwenda sotrama bado ni kati ya sarafu za mali cfa 100-150
sotrama still 100-150cfa
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
hata hivyo, bado ni mapema mno kurukia hitimisho la ni nani aliyehusika na milipuko.
however, it still seems to be pretty early to jump into conclusions about who is responsible for the blast.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
angelo izama anaamini uganda bado ni moja ya nchi nzuri zaidi duniani:
angelo izama believes uganda is still one of the most beautiful countries in the world:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
idadi ya watanzania wanaotumia intaneti bado ni ndogo kwa kulinganisha na idadi jumla ya watu.
the number of tanzanians using the internet is still small in comparison to the total population.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
bado, ni jambo la kusikitisha pale unaponunua bendera ambayo ni zaidi ya mita 1 kwa upana au urefu!
still, it really is pathetic when you get a flag that is more than 1 meter in width or length!
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
bila shaka mpaka sasa tumeshakomaa vya kutosha kuelewa kwamba kwa kawaida ukweli hauji haraka hivyo, kwamba bado ni mapema mno.
we should know by now that the truth doesn’t get here that soon and that any conclusions now would be premature.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
ernest bazanye anatahadharisha kwamba pengine watu wasifanye haraka kuhukumu kwamba nani hasa alitega na kulipua mabomu hayo, bado ni mapema mno:
ernest bazanye cautions against jumping to conclusions about who set off the bombs too soon:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
@opiaiya: bado ni mojawapo ya nchi nzuri zaidi duniani #uganda@50
@opiaiya: still possibly one of the most beautiful countries in the world #uganda@50
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
hivi karibuni rais wa paraguai fernando lugo alikiri kuwa yeye ni baba mzazi wa mtoto wa viviana carillo, mtoto ambaye alitungwa wakati lugo akiwa bado ni askofu wa kanisa katoliki la roma.
paraguayan president fernando lugo recently admitted that he is the father of viviana carillo's son, who was conceived when lugo was still a roman catholic bishop.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kutengwa kwa wavulana kumedhoofisha ndoto ya kufikia usawa wa kijinsia ambao bado ni wasiwasi duniani. ubaguzi wa mtoto wa kiume unajidhihirisha katika hali ya chini ya kujithamini na umesababisha mengi kupitia jamii
the exclusion of boys has crippled the dream to achieve gender equality which remains a global concern. the discrimination of the male child manifests itself in low self esteem and has led to a lot through the society
最終更新: 2023-02-26
使用頻度: 1
品質:
参照:
wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini misri na nchi za mashariki ya mbali, radio uholanzi imetangaza tafsiri ya kiarabu ya tangazo la kichina la kifaa cha ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.
while bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in egypt and middle eastern countries, radio netherlands broadcast an arabic translation of the chinese advertisement of the artificial virginity hymen kit.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.
"we are failing to enter into resource contracts as it was in mining and currently in oil and gas because our capacity is very low,” said rutabanzibwa.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
blogu na twita hazikutumika kama nyenzo kuu za kuhamasisha umma hasa kwa kuzingatia kwamba intaneti bado ni changa katika nchi ya kirigistani (imefikia asilimia 15 tu mpaka mwaka 2009).
blogs and twitter didn't serve as serious means of public mobilization since the internet penetration rate is relatively small in kyrgyzstan ( just 15 percent in 2009).
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。