検索ワード: ilionyesha (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ilionyesha

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

linda ikeji aliposti picha kwenye blogu yake, ambayo ilionyesha wazi damu ilivyomwagika.

英語

linda ikeji posted a photo on her blog which graphically displayed the carnage.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

esri ilionyesha kwamba upinde wa ujira "hufutilia mbali tofauti" kadiri muda unavyopita.

英語

esri showed that the wage curve "flattens out" gradually with time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

anwani feki ya twita ya rossneft rais wa gor sechin ilionyesha kuwa papa huenda alikuwa na mambo mengine ya ndani yaliyomfanya ajiuzulu:

英語

the fake twitter account of rossneft president igor sechin implied that the pope may have had ulterior motives in resigning:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ripoti moja ya cnn ilionyesha kuwa mchanganyiko wa idadi ya watu wengi walio wazee na kutoweza kupima wote walio na virusi hadi sasa huenda inachangia idadi kubwa ya vifo.

英語

a cnn report indicated that the combination of italy's large elderly population and inability to test all who have the virus to date may be contributing to the high fatality rate.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miongoni mwa wagonjwa sita, sampuli ya kwanza ilionyesha kiwango cha juu zaidi cha virusi na mgonjwa wa sita alionyesha kiwango cha juu zaidi cha virusi siku ya pili ya kupimwa.

英語

in five of six patients, the first sample showed the highest viral load, and the sixth patient showed the highest viral load on the second day tested.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dhamira ya evgenya chirikova kuwa meya katika kitongoji cha khimki jijini moscow ndiyo ilionyesha ushindani ambapo wapinzani waliungana pamoja, wakipata michango ya fedha na watu wa kujitolea kufanya kampeni.

英語

evgenya chirikova’s bid for mayor in the moscow suburb of khimki was the only race where the movement came together in a meaningful way, marshaling significant donations and campaign volunteers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, sensa ya watu nchini ukraine ilionyesha kupungua kwa watu milioni tano (kutoka watu milioni 52 hadi milioni 47).

英語

during the last 20 years, the population of ukraine has decreased by 5 million people (from 52 to 47 million).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sensa ya 2006 ilionyesha kuwa karibu wamisri milioni walikuwa na aina fulani ya ulemavu, lakini mashirika yasiyo ya kiserikali yenye ari na mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwa idadi yao haipungui milioni 8.5.

英語

a 2006 census claimed that almost a million egyptians suffered some sort of disability, yet dedicated ngos and international organizations estimate these to be at least 8.5 million.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

data ya mpangilio wa rna ya seli moja ilionyesha kuwa tmprss2 inaonyeshwa sana katika tishu na tovuti kadhaa za mwili na inaonyeshwa pamoja na ace2 katika seli za epithelial za pua, mapafu na matawi ya bronchi, ambayo inaelezea baadhi ya tropism ya sars cov2.

英語

sars-cov2 pseudovirus entry assays revealed that tmprss2 and cathepsin l have cumulative effects with furin on activating virus entry.

最終更新: 2021-11-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku ya alhamisi, jumla ya idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya korona sars-cov-2 ilipita milioni moja kote ulimwenguni, data kutoka chuo kikuu cha johns hopkins ilionyesha hivyo.

英語

on thursday, the total number of cases of the sars-cov-2 coronavirus infections surpassed one million worldwide, johns hopkins university data indicated.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika majibu yaliyotokana na “utetezi” wa bardwell kwamba huwafungisha ndoa watu weusi mara zote, blogu ya kupinga ubaguzi wa rangi iitwayo stuff white people do ilionyesha kuchukizwa kwake, kwa kusema:

英語

in response to bardwell's "defense" that he marries black couples all the time, the anti-racist blog stuff white people do expressed outrage, saying:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,744,721,836 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK