検索ワード: ilivyowahi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ilivyowahi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ukichambua hali ya mambo ilivyo, ni dhahiri kwamba sura ya nchi hiyo kukatwa katika vipande viwili iko dhahiri sana kuliko ilivyowahi kuwa kabla ya uchaguzi huu.

英語

in a detailed reading, the image of a country cut in two is even sharper than before.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watafsiri wa kujitolea wa euromaidan wamekabiliwa na shughuli nyingi kuliko ilivyowahi kuwa, wakitafsiri habari mpya nyingi kadri iwezekanavyo kutoka kwenye maeneo yanakofanyikia maandamano.

英語

euromaidan volunteer translators are busier than ever, translating as many updates from the scene of the protests.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sijui nini kingine kitatokea, jambo hili si zuri kwa upande wa kuinua imani ya wawekezaji nchini, haitashangaza kuona rand inaporomoka kuliko ilivyowahi kufanya hapo kabla, maana yake tunapeperushia mbali ndoto ya 2010.

英語

i don’t know what’s going to happen now, this cannot be good for investor confidence in the country , the rand is most probably going to get shot to hell and there goes the 2010 dream.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika vijana.fm, kulikuwa na manung’uniko kuwa ni kwanini kulikuwa na pilikapilika nyingi katika ujio wa obama kuliko ilivyowahi kuwa kwa wakuu wanchi wengine waliowahi kuitembelea tanzania:

英語

over at vijana.fm, there were complaints about why there was more brouhaha for this head of state than usually afforded to other visiting presidents:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyowahi kutokea awali, ususiaji huu unaweza a) kupunguza hisia za kutokuwa na nguvu na b) kuumiza wamiliki wa kiarabu pamoja na wafanyakazi wao, bila ya kuathiri uchumi wa marekani, kinyume na vile anavyodai profesa wa chuo kikuu cha abdulaziz.

英語

as with earlier, similar boycotts, this one is likely to a) assuage saudi feelings of impotence and b) hurt the saudi franchisees and their employees, without actually doing much damage to the us economy, contrary to what a professor from king abdulaziz university states.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,769,739,779 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK