検索ワード: kisaikolojia (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kisaikolojia

英語

psychotic

最終更新: 2021-09-20
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

unyanyasaji wa kisaikolojia

英語

sexual abuse

最終更新: 2021-07-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

(wala usinifanye nianze kuhusu majeraha ya kisaikolojia.

英語

(don’t even get me started about trauma issues.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maoni yaliyotolewa kupitia xinhua yanaeleza hali hiyo ya kisaikolojia:

英語

a commentary on xinhua describes this psychology:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwandishi: kwa upande wa kisaikolojia, hali ya mama yako ikoje?

英語

interviewer: and psychologically is your mother ok?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kweli, uhalisia ni kuwa, hili ni jambo la wazi kabisa la kisaikolojia.

英語

of course the reality is that this is plain psychological.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zaidi, utoaji mimba una madhara ya afya ya kisaikolojia na kimwili kwa wote waliohusika.

英語

moreover, abortions have negative consequences on the psychological and physical health of all those involved.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini nina mawazo kuwa mtu wa kawaida hajaandaliwa kukabili athari kubwa za kisaikolojia kwa mtoto.)

英語

but i’m of the opinion that the average individual isn’t equipped to handle extensive trauma in a child.)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni muhimu kutoa ushauri wa kisaikolojia na msaada wa muda mrefu ili kusaidia wagonjwa kupona kutokana na mfadhaiko na kurejelea hali ya kawaida ya maisha.

英語

it is imperative to provide psychological counseling and long-term support to help these patients recover from the stress and return to normal life.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

unda jamii kuhakikisha kutangamana kwa watu mara kwa mara, wezesha hatua za huduma za kijamii, na tatua changamoto zozote za kisaikolojia zinazowezekana ambazo wanafunzi huweza kupata wanapotengwa.

英語

create communities to ensure regular human interactions, enable social caring measures, and address possible psychosocial challenges that students may face when they are isolated.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@edwardlowassa wajiandae tu kisaikolojia kuitoa ikulu kwa amani pasi na shurtisho lolote — mwamfupe anyisile (@anyisile) august 15, 2015

英語

they should prepare themselves psychologically to leave the state house in peace without any force.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

matibabu haya ni pamoja na matibabu ya kisasa na yanayowezekana na dawa zinapambana na virusi, kikandamizi vya kinga, steroids, plasma kutoka kwa wagonjwa waliopona, msaada wa dawa na wa kisaikolojia kutoka china.

英語

these therapies include current and potential treatments with antiviral drugs, immunosuppressants, steroids, plasma from recovered patients, chinese medicine, and psychological support.

最終更新: 2024-04-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia tukumbuke kwamba, mapambano yake akiwa katika upweke wake huku akiwa chini ya ulinzi mkali katika makazi yake ya huko rangoon ni sehemu ya mapambano mapana zaidi, ulimwengu kote, katika kutafuta kuikomboa roho ya kibinadamu kutoka katika tawala za kimabavu za kisiasa na manyanyaso ya kisaikolojia.

英語

we must also remember that lonely struggle taking place in a heavily guarded compound in rangoon is part of the much larger struggle, worldwide, for the emancipation of the human spirit from political tyranny and psychological subjection.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

msaada wa kisaikolojia unapaswa kujumuishwa katika kuundwa kwa timu za tasnia mbalimbali za afya ya kiakili, mawasiliano wazi na taarifa za mara kwa mara ambazo ni sahihi kuhusu mkurupuko wa sars-cov-2 na mipango ya matibabu na matumizi ya vifaa vya kielektroniki vya kitaaluma na programu za kuepuka kugusana na wengine.

英語

the psychological support should include the establishment of multidisciplinary mental health teams, clear communications with regular and accurate updates about the sars-cov-2 outbreak and treatment plans and the use of professional electronic devices and applications to avoid close contact with each other.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,759,355,351 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK