検索ワード: kujadiliwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kujadiliwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ilichukuliwa pia sana na kuchapishwa na vyombo vikuu vya habari za urusi na kujadiliwa sana katika blogu nyingi.

英語

it was widely covered by the russian mainstream media and discussed on the countless blogs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mhe spika kwa kweli mgombea wa urais mhe elias chipimo ameibua hoja muhimu ambazo zinastahili kabisa kujadiliwa bungeni.

英語

hon zapp speaker sir indeed presidential candidate hon.elias chipimo raises some important points that are worth debati ng in the house.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.

英語

the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maelezo haya yalisambazwa mtandaoni kwa kiwango kikubwa na kujadiliwa na watumiaji wakuu wa mtandao katika mtandao wa facebook, wakiwemo wanahabari na wanaharakati.

英語

this excerpt was widely circulated online and discussed on facebook by regular users, journalists and activists.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sio tu bihar, miongoni mwa shule zinazomilikiwa na serikali nchini india zilizoweza kuwa na mengi ya kujadiliwa kuhusiana na kutotilia maanani mambo na usimamizi mbovu.

英語

not just bihar, government run schools, across india, may have bigger stories of negligence and mismanagement to tell.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waandishi kadhaa na wanablogu wameonyesha kutokuridhika na matokeo ya sheria mpya ya kazi, ambayo ilitoka kwenye kujadiliwa mpaka kuchapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali ya cuba liitwalo gaceta oficial de la república de cuba bila kupitishwa kwa mabadiliko ya mwisho.

英語

several journalists and bloggers have expressed their disagreement on the outcome of the new labor code, which went from being discussed to being published in the gaceta oficial de la república de cuba (official gazette of the republic of cuba) without the approval of the final changes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

masuala yanayohusu maabukizi ya virusi hivyo huajadiliwa kwenye alama habari ya #ebolanews ambayo huchapishwa kati ya saa 1 na 2 asubuhi kwa saa za afrika magharibi kadhalika kupitia alama habari ya #ebolascience ambapo masuala yanayochanganya ya ebola hushughulikiwa na kujadiliwa kwa kina.

英語

from the daily #ebolanews that is posted between 7am and 8am wat to special activities like #ebolascience where confusing ebola issues are cracked and clarified.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya watu wanahisi kuwa " kupima thamani ya kazi za nyumbani zisizo za malipo kimantiki ni sahihi na ni jambo linalowezekana kujadiliwa, pamoja na kuwa, kulifanya jambo hili kuwa la lazima kwa waume kuwalipa wake zao asilimia fulani ya fedha za ujira wao kama njia ya kufidia kazi wanazozifanya wake zao nyumbani, kwa baadae linaweza kuwa si jambo zuri.

英語

some feel that "measuring the value of unpaid work at home is conceptually correct and well worth trying", though making it mandatory for husbands to pay out a fixed percentage of their salaries in lieu of this work may be the wrong way forward.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,762,038,383 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK