検索ワード: kuomboleza (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuomboleza

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

"je tunathubutu kuomboleza wafu?

英語

dare we grieve the dead?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini leo, bila kujali uraia, wote tuko pamoja kuomboleza.

英語

but today, regardless of nationality, we are all united in grief.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yaani walikuwa walikuwa wakilia kwa kuomboleza kana kwamba kulikuwa na mtu anayewakamua uhai wao.

英語

wailing as if life was pulled from within them.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na sasa sikilizeni enyi matajiri! lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.

英語

go to now, ye rich men, weep and howl for your miseries that shall come upon you.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wa kambodia kutoka katika majimbo na maeneo mbalimbali waliungana kuomboleza kifo cha mfalme norodom sihanouk.

英語

cambodians coming from various provinces and regions were united in mourning the death of king norodom sihanouk.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnawezaje kujivuna? ingekuwa afadhali kwenu kuomboleza, na huyo aliyefanya kitu hicho aondolewe miongoni mwenu.

英語

and ye are puffed up, and have not rather mourned, that he that hath done this deed might be taken away from among you.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wafanya biashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,

英語

the merchants of these things, which were made rich by her, shall stand afar off for the fear of her torment, weeping and wailing,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika mtazamo wa afrika duniani, kuondoka kwa jemedari huyo si wakati wa kuomboleza, bali wakati wa kutafakari na kufurahia kumbukumbu yake.

英語

within the african world view, the departure of a sage is no time for mourning, but a time of reflection on and appreciation of a worthy legacy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nawaambieni kweli, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi: mtaona huzuni lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.

英語

verily, verily, i say unto you, that ye shall weep and lament, but the world shall rejoice: and ye shall be sorrowful, but your sorrow shall be turned into joy.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili yake. lakini yesu akawaambia, "msilie, kwa maana mtoto hajafa, amelala tu!"

英語

and all wept, and bewailed her: but he said, weep not; she is not dead, but sleepeth.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kumekuwa na njama zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na kuanguka huku kwa ndege, lakini kwa jamii kubwa ya watu wa malasia, huu ni wakati wa kuomboleza vifo vya watu wasio na hatia na kuwafariji wale wote waliofiwa.

英語

conspiracies about the crash are circulating in cyberspace, but for many malaysians this is the time to grieve the loss of innocent lives and to help their loved ones recover from the tragedy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

serikali ya uchina ilihimiza biashara na viwanda kufunguwa mnamo 30 machi, na kutoa msaada wa kifedha kuimarisha biashara.kamati ya serikali ilitangaza siku ya majonzi kuanzia na muda wa ukimya wa dakika tatu saa 4:00 4 aprili, ikisadifiana na sherehe ya qingming, ingawa serikali ya kati iliwaomba familia kuomboleza mtandaoni kuzuia kutokea tena kwa mkurupuko wa covid-19.

英語

the chinese government encouraged businesses and factories to re-open on 30 march, and provided monetary stimulus packages for firms.the state council declared a day of mourning to begin with a national three-minute moment of silence on 10:00 4 april, coinciding with qingming festival, although the central government asked families to pay their respects online in observance of physical distancing as to avoid a renewed covid-19 outbreak.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,759,543,823 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK