検索ワード: kutengenezwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kutengenezwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

haiendi kutengenezwa

英語

creating a car

最終更新: 2024-01-08
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ujumbe unapaswa kutengenezwa kwa namna nyepesi kuelewa.

英語

the messages must be tailor made for easy understanding.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna kipimo kilichopatikana cha kutathmini virusi au kingamwili kwenye damu, ijapokuwa vipimo vinaendelea kutengenezwa.

英語

there is no established test assessing for the virus or antibodies in the blood, although tests are being developed.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna moja, ambayo ilikuwa iharibike kabla siku yake ya kutengenezwa, na papo hapo tukajua kuwa hiyo haikuwa dawa halali.

英語

on one, the expiry date was before the manufacturing date, so we knew something wasn’t quite right!”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

marekani inafuatilia mwenendo wa mambo nchini misri, na tunaamini kwamba hatimaye mustakabali wa misri unaweza kutengenezwa na watu wa misri wenyewe.

英語

the united states is monitoring the very fluid situation in egypt, and we believe that ultimately the future of egypt can only be determined by the egyptian people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inahitaji mtungi au tanki ambalo linaweza kutengenezwa kwa beleshi nap engine kuweka matofali ya uzio kama inavyofanya kwenye sehemu za kisasa za maji-taka.

英語

it takes a cistern that can be made with a shovel and perhaps setting liner stones as is often done in a modern septic field.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwaka 2011, serikali iliwatia kizuizini na kuwashitaki waandishi wa habari zaidi ya 12 kwa makosa ya kigaidi ya kutengenezwa, matukio yaliyokuwa yanaendelea tangu mwaka 2005.

英語

in 2011, the government arrested and prosecuted more than 12 journalists on sham terrorism charges, an act that has become routine since 2005.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hadi wakati huu, takribani mwaka mmoja akiwa gerezani, zola anakabiliwa na mashitaka ya kutengenezwa yanayomhusisha na ugaidi ati kwa kuwa tu ni mwanazuoni halisi atumiaye unyenyekevu wake katika ukosoaji.

英語

today, after over a year in prison, he is facing trumped-up terrorism charges for being a true intellectual, and one who uses humor to communicate his critiques.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanahabari bladimir sanchez ameshapata vitisho kwa maisha yake kwa kutengeneza video inayoonyesha kufukuzwa kwa lazima kwa wakulima na wavuvi wanaopinga kutengenezwa kwa bwawa la kuzalisha umeme katika eneo la huila, nchini colombia mnamo tarehe 14 na 15 februari.

英語

citizen journalist bladimir sánchez has already received threats for making a video showing the forced evictions of farmers and fishermen protesting the construction of a hydroelectric dam in the department of huila, colombia on february 14 and 15.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini misri na nchi za mashariki ya mbali, radio uholanzi imetangaza tafsiri ya kiarabu ya tangazo la kichina la kifaa cha ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.

英語

while bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in egypt and middle eastern countries, radio netherlands broadcast an arabic translation of the chinese advertisement of the artificial virginity hymen kit.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chaguo za bei ya chini zinaweza kutengenezwa ili kuwezesha kuosha mikono mahali maji ya mfereji na/au sabuni haipatikani kwa mfano kumwaga maji kutoka kwenye kibuyu chenye mashimo yanayofaa na/au kutumia jivu ikihitajika katika mataifa yanaendelea.katika hali ambapo hakuna maji ya kutosha (kama vile shule na maeneo ya mashinani katika mataifa yanayoendelea), kuna suluhu za kuhifadhi maji, kama vile "mifereji ya utunzi" na chaguo zingine za gharama ya chini.

英語

various low-cost options can be made to facilitate hand washing where tap-water and/or soap is not available e.g. pouring water from a hanging jerrycan or gourd with suitable holes and/or using ash if needed in developing countries.in situations with limited water supply (such as schools or rural areas in developing countries), there are water-conserving solutions, such as "tippy-taps" and other low-cost options.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,747,284,903 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK