検索ワード: lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

tulikupenda lakini mungu

英語

we loved you

最終更新: 2023-07-10
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye dhambi, kristo alikufa kwa ajili yetu.

英語

but god commendeth his love toward us, in that, while we were yet sinners, christ died for us.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu alimfufua siku ya tatu, akamfanya aonekane

英語

him god raised up the third day, and shewed him openly;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu ni mwenye huruma nyingi. alitupenda kwa mapendo yasiyopimika,

英語

but god, who is rich in mercy, for his great love wherewith he loved us,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake tito.

英語

nevertheless god, that comforteth those that are cast down, comforted us by the coming of titus;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu, kwa neema yake, alikuwa ameniteua hata kabla sijazaliwa, akaniita nimtumikie.

英語

but when it pleased god, who separated me from my mother's womb, and called me by his grace,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu alimfufua kutoka wafu akamwokoa katika maumivu ya kifo kwa maana haingewezekana kabisa kifo kimfunge.

英語

whom god hath raised up, having loosed the pains of death: because it was not possible that he should be holden of it.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.

英語

and there are diversities of operations, but it is the same god which worketh all in all.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, mlimuua yule ambaye ni chanzo cha uzima. lakini mungu alimfufua, na sisi ni mashahidi wa tukio hilo.

英語

and killed the prince of life, whom god hath raised from the dead; whereof we are witnesses.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.

英語

but glory, honour, and peace, to every man that worketh good, to the jew first, and also to the gentile:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu akamwambia: mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. na vitu vile vyote ulivyojilundikia vitakuwa vya nani?"

英語

but god said unto him, thou fool, this night thy soul shall be required of thee: then whose shall those things be, which thou hast provided?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

*habari mpya: makamu wa rais wa malawi amethibitisha kwamba rais bingu wa mutharika amefariki dunia na ametangaza siku 10 za maombolezo.

英語

*update 1: malawi's vice-president joyce banda has confirmed that president bingu wa mutharika has died and declared 10 days of mourning.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu alipokuwa anamtuma mwanae mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, alisema: "malaika wote wa mungu wanapaswa kumwabudu."

英語

and again, when he bringeth in the firstbegotten into the world, he saith, and let all the angels of god worship him.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ingawa pale awali mimi nilimtukana na kumtesa na kumdhulumu. lakini mungu alinionea huruma, kwa sababu sikuwa na imani bado, na hivyo sikujua nilichokuwa ninafanya.

英語

who was before a blasphemer, and a persecutor, and injurious: but i obtained mercy, because i did it ignorantly in unbelief.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu aliwalaumu watu wake aliposema: "siku zinakuja, asema bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa israeli na kabila la yuda.

英語

for finding fault with them, he saith, behold, the days come, saith the lord, when i will make a new covenant with the house of israel and with the house of judah:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

watu hao hufundisha kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. lakini mungu aliviumba vyakula hivyo, ili wale walio waumini na ambao wanapata kuujua ukweli, wavitumie kwa shukrani.

英語

forbidding to marry, and commanding to abstain from meats, which god hath created to be received with thanksgiving of them which believe and know the truth.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu alinisaidia; na hivyo mpaka siku ya leo nimesimama imara nikitoa ushuhuda kwa wote, wakubwa na wadogo. ninayosema ni yale ambayo manabii na mose walisema yatatukia;

英語

having therefore obtained help of god, i continue unto this day, witnessing both to small and great, saying none other things than those which the prophets and moses did say should come:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, ninyi na watu wote wa israeli mnapaswa kujua kwamba mtu huyu anasimama mbele yenu leo, mzima kabisa, kwa nguvu ya jina lake yesu wa nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, lakini mungu akamfufua kutoka wafu.

英語

be it known unto you all, and to all the people of israel, that by the name of jesus christ of nazareth, whom ye crucified, whom god raised from the dead, even by him doth this man stand here before you whole.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: enyi watu wa israeli! si mimi mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!

英語

then god turned, and gave them up to worship the host of heaven; as it is written in the book of the prophets, o ye house of israel, have ye offered to me slain beasts and sacrifices by the space of forty years in the wilderness?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

unaweza kusema: "chakula ni kwa ajili ya tumbo, na tumbo ni kwa ajili ya chakula." sawa; lakini mungu ataviharibu vyote viwili. mwili wa mtu si kwa ajili ya uzinzi bali ni kwa ajili ya kumtumikia bwana, naye bwana ni kwa ajili ya mwili.

英語

meats for the belly, and the belly for meats: but god shall destroy both it and them. now the body is not for fornication, but for the lord; and the lord for the body.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,955,307 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK