検索ワード: maafa (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

maafa

英語

disaster

最終更新: 2020-04-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maafa, maafa

英語

maafa, maafa

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maana ya maafa

英語

for disaster

最終更新: 2015-11-07
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

**ripoti zaidi itafuatilia kuhusu maafa.

英語

**further update is to come about the disaster.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

popote waendapo husababisha maafa na mateso;

英語

destruction and misery are in their ways:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zaidi ya watu milioni 16 waliathirika na maafa.

英語

more than 16 million people were affected by the disaster.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanafuata.

英語

one woe is past; and, behold, there come two woes more hereafter.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maafa ya pili yamepita; lakini tazama! maafa ya tatu yanafuata hima.

英語

the second woe is past; and, behold, the third woe cometh quickly.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati tacloban ikiwa haina maafa, visiwa vingine vimeharibiwa pia na hali ya huko haijaripotiwa vya kutosha.

英語

while tacloban is considered the ‘ground zero’ of the disaster, other islands have been devastated as well and the situation there has not been adequately reported.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.

英語

(the unicef) condemns the violence that resulted in these tragic and senseless deaths and injuries to children.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika maandishi, picha za maafa ni mbadala na mahojiano na waathirika, ambao wanajadiliana juu ya janga na kutazamia siku zijazo.

英語

in the documentary, images of the disaster alternate with interviews to the survivors, who talk about the tragedy and their look towards the future.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, makao makuu ya maafa yamesema uongo kwetu sisi kwamba wao waliwapeleka wanachama 555 wa uokoaji, helikopta 121 na mashua 169.

英語

however, the disaster headquarters have lied to us that they have dispatched 555 rescue team members, 121 helicopters and 169 boats.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

miongoni mwa blogu zilizotajwa kushindania tuzo hiyo ni ushahidi, blogu ambayo kwa kutumia tovuti inasaidia kutoa taarifa za maafa kupitia simu za mikononi na mtandao wa kijamii.

英語

among the "best blog" nominees is ushahidi, a blog that accompanies a web application that helps map disaster situations via mobile phones and social networking.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

maafa hayo yalisababisha vifo vya karibu watu hamsini na uharibifu uliokadiriwa kuwa fcfa bilioni 7.83 (karibu dola milioni 160) :

英語

the disaster caused the death of nearly fifty people and caused damage estimated at 78.3 billion fcfa (about 160 million usd) :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hao wanayo mamlaka ya kufunga anga, mvua isinyeshe wakati wanapotangaza ujumbe wa mungu. tena wanayo mamlaka ya kuzigeuza chemchemi zote za maji ziwe damu, na ya kusababisha maafa ya kila namna duniani kila mara wapendavyo.

英語

these have power to shut heaven, that it rain not in the days of their prophecy: and have power over waters to turn them to blood, and to smite the earth with all plagues, as often as they will.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"sasa, mafuriko yanasababisha uharibifu mkubwa zaidi" kweli, kama ilivyo kwenye kijiji hiki cha adjohoun chenye wakaazi 56,455, nchi nzima imekumbwa sana na maafa.

英語

"now, floods are more devastating" indeed, like in this village of adjohoun with its 56 455 inhabitants, the entire country has been hit hard by the disaster.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.

英語

"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,762,698,542 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK