検索ワード: maelekezo (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

maelekezo

英語

directive

最終更新: 2015-01-31
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

usifuate maelekezo

英語

i'm not here

最終更新: 2024-03-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maelekezo ya kuendesha

英語

driving instructions

最終更新: 2021-01-31
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sijaelea maelekezo yako hapo juu

英語

what do you want to do

最終更新: 2022-11-11
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

moja wapo ya maelekezo yaliyotolewa kwenye kundi la mtandao wa wechat yanasema:

英語

one of the instructions shared on the wechat group says:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja na madai tofauti ya serikali.

英語

top-down prescription is not working despite the claims otherwise by the government.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

unapotembea katika mitaa, mabango ya ugenini na maelekezo, yanazidi haya tuliyonayo kwetu kwa mbali sana

英語

when you walk on the streets, foreign signs and directions, they far exceed our domestic ones.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika mahojiano , mwanamke huyu alieleza kuwa anafuata maelekezo yaliyofikiwa na mamlaka zote 48 za mamlaka za vijiji.

英語

she explained in an interview that she follows the instructions of the consensus of all 48 local authorities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

makala zipi zichapishwe na zipi zisichapishwe, inapaswa kuwa kwa maelekezo ya jukwaa la blogu na si mamlaka za udhibiti.

英語

which posts should be published or not should be at the discretion of the blog platform, not the regulatory authorities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

karibu kila kitu kilicho chumbani mwangu kimewekewa maelekezo, lakini yote kwa kijapani kwa hiyo sijui yanatumikaje mpaka sasa!

英語

many of the things i have around the room seem to have instructions on it, but all in japanese so i have no idea how they work so far!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hii ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka saba cha somewhereinblog.net kwa serikali kutoa maelekezo ya maandishi ili kuadabisha wanablogu.

英語

this is the first time in the over seven years of somewhereinblog.net that authorities have issued written instructions to discipline bloggers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku za hivi karibuni, polisi waliwatia nguvuni watu wanne waliojitokeza na kusema kuwa ndio waliomshambulia mohiuddin kufuatia maelekezo ya watu wenye msimamo mkali wa kidini.

英語

the police recently arrested four persons who revealed that they attacked mohiuddin on instruction of a religious extremist.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tembelea tovuti ya mkutano kwa habari zaidi juu ya malengo ya mkutano, programu ya matukio, maelekezo ya kujiandikisha na maelezo juu ya mji mchangamfu wa santiago.

英語

visit the summit web site for background information on the goals of the meeting, the program of events, registration details and information about the vibrant city of santiago.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama ungependa kushiriki, tafadhali jaza fumu ya ushiriki, na timu yetu itakujibu kwa habari zaidi za kina, ikiwa ni pamoja na maelekezo kamili ya namna ya kufika mkutanoni.

英語

if you are interested in taking part, please complete the following sign-up form, and our team will reply with more information, including the exact address of the meetup.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

doc gurley alitafuta kwenye mtandao video ya maelekezo ya jinsi ya kujiongezea maji mwilini kwa njia ya kinywa (ort) ambayo angeliwaachia wafanyakazi wenzake pamoja na wagonjwa.

英語

doc gurley looked around online for an instructional video on oral rehydration therapy (ort) that she could leave with her haitian colleagues and patients.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kampeni hiyo inadai masuala matatu makuu kutoka kwenye utawala wa obama: kutoa maelekezo ya kisera kwa mamlaka ya ki-rais kuzuia udukuzi na kufuatiliwa kwa waandishi na mashirika ya habari.

英語

the campaign seeks three key commitments from the obama administration: issue a presidential policy directive prohibiting the hacking and surveillance of journalists and media organizations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ubadilishwaji halali wa vifurushi tanzania mwaka 2022 bila kuwataarifu wateja kulikuwa na mtumiaji wa mtandao wa zantel ambaye alinunua kifurushi cha shiling 2000 ambacho alikuwa anategemea kupata 1gb ,dakika 20 mitandao yote na dakika 20 zantel kwenda zantel pamoja na sms 20 ambapo alinunua kulingana na maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwenye menu lakini baada ya kukamilisha ununuzi alipokea ujumbe wa sms kutoka katika mtandao huo wenye maelezo tofauti na ofa iliyokuwa imetolewa kwenye menu h

英語

valid replacement of tanzania packages in 2022 without notifying customers there was a zantel network user who purchased the shiling 2000 package which was based on getting 1gb , 20 minutes all networks and 20 minutes zantel to zantel along with 20 smss where he purchased according to the instructions provided on the menu but upon completion of the purchase received an sms message from that network with different details and the offer provided on the menu hio ili mtaarifu kuwa amepokea mb 800,dakika 55, na sms 20 kwa wiki mitando yote baada ya hapo mteja aliamua kumpigia mtoa huduma na kumuomba achague vitu viwili kurudisha pesa au kuongeza mb 200,mtoa huduma alikubali kuwa kunachangamoto hio lakin hakukubali kuongeza mb wala kusitisha muamala

最終更新: 2022-11-18
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

1) ili kuhifadhi afya na usalama wa umma, na kuhakikisha mfumo wa kuwasilisha huduma ya agfya ya kuwahudumia wote, na kuwapa kipaumbele walio walio katika hatari kubwa na wanaoweza kuathirika, wakazi wote wanaelekezwa kufuata mara moja maelekezo ya sasa ya jimbo kuhusu afya ya umma, ambayo niliamuru idara ya afya umma kutengeneza kwa hali ya sasa ya kitaifa ya covid-19.

英語

1) to preserve the public health and safety, and to ensure the healthcare delivery system is capable of serving all, and prioritizing those at the highest risk and vulnerability, all residents are directed to immediately heed the current state public health directives, which i ordered the department of public health to develop for the current statewide status of covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,743,785,773 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK