検索ワード: mhariri wa kundi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mhariri wa kundi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mpendwa mhariri wa kimataifa:

英語

dear international editor:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi sasa mhariri wa gazeti hilo ni wb.

英語

presently it is edited by mr. syed arifullah.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sara moreira, mhariri wa kireno akiwa porto, portugal

英語

sara moreira, portuguese language editor, live from porto, portugal

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

faisal kapadia, mhariri wa tafsiri ya urdu, akiwa karachi, pakistan

英語

faisal kapadia, lingua urdu editor, live from karachi, pakistan

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wanachama wengine wa kundi hilo la mapinduzi ya kijeshi pia walisafirishwa kwenda morocco.

英語

two other junta members were also evacuated to morocco.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiongozi wa kundi la watu wenye ujinsia usiozoeleka na ambaye ni mwanaharakati wa haki za mashoga frank mugisha alitwiti:

英語

sexual minorities uganda leader and gay activist frank mugisha tweeted:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ukurasa wa facebook wa kundi hilo ulikuwa maarufu, ukivutia watu 1,000 kuupenda ndani ya mwisho wa juma moja pekee.

英語

the group's facebook page was popular, attracting more than 1,000 "likes" in a single weekend.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kabla ya kuingia madarakani kwa serikali ya kijeshi ya junta katika miaka ya 1960, win tin alikuwa mhariri wa gazeti maarufu la myanmar.

英語

before the rise of the military junta in the 1960s, win tin was editor of myanmar’s most popular newspaper.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huo ndio ujumbe mkuu wa kampeni ya “kataa ubakaji” ulichapishwa katika ukurasa wa facebook wa kundi la wapiga kampeni.

英語

this is the main message of the ‘no to rape' campaign published in the facebook page of the group.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa upande mwingine, amekuwa akichunguza kifo cha nikola mladenov, mchapishaji na mhariri wa kampuni huru ya habari, kwa miezi miwili iliyopita.

英語

on the other hand, he has been investigating the death of nikola mladenov, publisher and editor of an independent media outlet, for the past two months.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kyaw zwa moe, mhariri wa jarida la irrawaddy, alibainisha jinsi ambavyo win tin hakupata kamwe kuafikiana na serikali ya junta licha ya afya yake kudhoofika:

英語

kyaw zwa moe, editor of the irrawaddy magazine, noted how win tin never compromised with the ruling junta despite his failing health:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa endalk chala, mmoja wa aanzilishi wa kundi hili la ku-blogu, abel amekuwa akipata tendwa visivyo hata kabla ya kukamatwa kwake.

英語

according to endalk chala, co-founder of the blogging group, abel had suffered poor treatment even before his arrest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akimkosoa museveni, charles onyango obbo, mhariri wa mail & guardian africa, alimfananisha museveni na kiongozi wa waasi wa lords resistance army joseph kony:

英語

in his criticism of museveni, charles onyango obbo, mail & guardian africa editor, compared museveni to lords resistance army leader joseph kony:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwenye mazungumzo ya gv leo tutazungumza na mhariri wa timu yetu ya kikorea yoo eun lee kuhusu mitazamo ya wakorea juu ya taarifa zinazotangazwa na vyombo vya habari vya kimataifa kuhusiana na maana ya janga hilo kwao, na nani haswa wa kulaumiwa.

英語

on today's #gvface we talk to global voices korean editor yoo eun lee about korean reactions to the international media, what the tragedy means at home, and who is really blame.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jitihada za kuweka kumbukumbu sawa kuhusu asili ya zoezi hili zinaendelea, lakini kwa mujibu wa kiongozi wa kundi hilo, mmoja wa washiriki wa mwanzo kabisa alikuwa james gensaw, aliyekuwa anayezungumza maneno ya lugha ya yurok.

英語

efforts to pinpoint the origin of this challenge are ongoing, but according to the group administrator, one of the first participants was james gensaw, speaking words in the yurok language.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bloga wa kimartinique le blo de , katika makala yake nyingine inayohusu harakati za wafanyakazi wa martinique na guadeloupe anapambana na christophe barbier, mhariri wa maoni katika gazeti la kifaransa, l'express.

英語

martinique blogger le blog de , in another post on the ongoing workers' movement in martinique and guadeloupe, takes issue with christophe barbier, opinion editor of the french news magazine, l'express.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa majuma machache yaliyopita, coren imeweza kuwahamasisha wananchi wa mali kote ndani ya mipaka hiyo, kwa kutumia ukurasa unaonekana kutangaza matukio yanayofuata pamoja na kuonyesha mshikamano kama inavyoonyeshwa katika habari mpya iliyowekwa na mwanachama wa kundi hilo aitwaye oumar maigar:

英語

for the last few weeks, coren have mobilised the people of mali throughout the entire territory, with the page notably being used to announce upcoming events as well as to demonstrate solidarity as shown in the following status update from group member oumar maigar:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni kweli, wengi wa kundi hili, wanaweza kuutamani mnofu wa nguruwe ikitokea wameuona, na hata wanaweza kusimama na kuangalia uwezekano wa kupata japo mbavu tu baada ya kuona tangazo kwenye runinga, lakini kwa kawaida mahali salama zaidi kuishi kwa nguruwe ni kwenye nchi ya kiislamu .

英語

sure, they may lustily eye a strip of bacon if they ever encounter one, maybe even pause to consider a side of ribs after seeing it on a television show, but on average the safest place for a pig is in a muslim country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

#swazijustice ni kampeni inayotoa wito wa kuachiliwa huru kwa bheki makhubu, mhariri wa gazeti la taifa na thulani maseko, mwanasheria wa haki za binadamu, ambao walifungwa jela nchini swaziland kwa miaka miwili kwa sababu ya kuandika makala kukosoa mfumo wa mahakama nchini humo.

英語

#swazijustice is a campaign calling for the release of bheki makhubu, editor of the nation magazine and thulani maseko, a human rights lawyer, who were jailed in swaziland for two years for writing an article critical of the judiciary in the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

binti wa miaka 15 malala yousafzai alipigwa risasi mnamo tarehe 9 oktoba 2012 wanamgambo wa kundi la ttp (tahreek-e-taliban pakistan) kwa sababu tu alikuwa mwanaharakati asiyeogopa aliyetetea elimu kwa ajili ya wasichana huko swat.

英語

15 year-old malala yousafzai was shot on 9 october 2012 by members of ttp (tahreek-e-taliban pakistan) because she was a fearless activist of girl education in swat.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,761,375,340 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK