検索ワード: pungufu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

pungufu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

lugha 199 zina wazungumzaji wa asili pungufu ya kumi na wawili.

英語

199 languages have less than a dozen of native speakers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna kutupiana risasi kusikotabirika katika mitaa lakini kiasi pungufu ikilinganishwa na jana.

英語

there is a bit of sporadic firing in the streets but it is much less intense than yesterday.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matokeo haya yalionyesha kwamba kiwango pungufu na kilicho duni cha ugawi wa umeme kimezorotesha maendeleo ya umeme.

英語

these results indicate that inadequate and poor quality of electricity supply has slowed industrial development.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

zaidi ya ndoa 500,000 husimamiwa na kanisa katoliki kila mwaka wakati ndoa zinazobatilishwa na kuripotiwa ni pungufu ya asilimia 10.

英語

more than 500,000 marriages are administered by the catholic church every year with less than 10 percent getting annulled and reported.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.

英語

as a jakartan who used to stuck in traffic, i tend to be panicky if the streets are quiet and deserted look-alike.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ninapokisoma kitabu kilicho kwenye mfumo wa kidijitali, uzoefu wa kitamaduni ninaoupata unakuwa pungufu ya ule ninaoupata nikiwa nakisoma kitabu kwenye karatasi?

英語

when i read a digital book, is the cultural experience lesser than when a read the book on paper?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mpaka hapo tutakaupotambua ugaidi ulioasisiwa ndani ya nchi kwa jinsi ulivyo – na si pungufu ya ule ulioletwa kutoka nje ya nchi – na mpaka pale tutakaposimama dhidi ya ugaidi wa ain azote, hatutaweza kuushinda ugaidi.

英語

until we recognize homegrown terror for what it is — no less than anything from abroad — and until we stand against every kind of terror, we will never defeat terrorism.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chama cha bingu, ddp, kimeshinda uchaguzi wa rais kwa kura takriban 2,730,630 wakati mseto wa mcp/udf uliambulia kura 1,270,057, kura takriban 200, 000 pungufu ya zile za bingu . ujumbe mkuu unaotolewa na takwimu hizi ni kuwa bingu alichaguliwa na taifa zima, na unazua wazo kuwa pengine uongozi bora unaweza kutokomeza sarakani ya ukabila ambayo wengi wetu tulidhani ilikuwa bado inazengea kutafuna siasa na maisha yetu.

英語

bingu’s party, the dpp, won the presidential election with roughly 2,730,630 votes while the mcp/udf alliance scooped circa 1,270,057, almost 200,000 votes below half of bingu’s votes the strong message arising from these figures is that bingu was voted into power by the entire nation, raising postulates about whether good leadership styles could obliterate the tribal cancer that many of us thought was out to consume our political and everyday lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,761,094,297 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK