検索ワード: seli (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

seli

英語

cell

最終更新: 2012-10-30
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

walimweka peke yake katika seli yake.

英語

they put him alone in his cell.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mabadiliko makubwa kati seli pia yalionekana katika seli za ufizi.

英語

viral cytopathic changes were observed in the pneumocytes.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

seli ilikuwa ya ukubwa wa futi 8.5 x 11.5.

英語

the cell was 8.5 x 11.5 feet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

unamzuia kupeleka virutubisho kwenye seli zake na hivyo kuleta matatizo ya ukuaji hafifu.

英語

it prevents her from getting nutrients to all her cells and therefore growing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

seli za t helper huzalisha molekuli za saitokini zinazosaidia hali ya kuchomeka ili kusaidia kulinda seli.

英語

t helper cells produce proinflammatory cytokines to help the defending cells.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

hata hivyo, cov huweza kuzuia utendakazi wa seli za t kwa kusababisha kuuawa kwa seli za t.

英語

however, cov can inhibit t cell functions by inducing apoptosis of t cells.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

baada ya kuambatisha, protisi ya seli mama hukwamilia na kuamilisha kipokezi kilichoambatishwa kwenye protini ya ncha kazi.

英語

after attachment, a protease of the host cell cleaves and activates the receptor-attached spike protein.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

cytokine hizi huiingiza seli za kinga ili kuachilia idadi kubwa ya fanifu huru ambazo ndizo chanzo kikubwa cha ards na viungo kufeli mara nyingi.

英語

these cytokines induce immune cells to release a vast number of free radicals which are the major cause of ards and multiple organ failure.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.

英語

amer daoud and his wife raghda hassan first met and fell in love as political prisoners in the cells of a syrian prison 15 years ago.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

hata hivyo, mbinu nyingine, kama vile sitotoksiki ya seli na/au phagocytosis zinazotegema kingamwili, zinawezekana.

英語

other mechanisms however, such as antibody-dependent cellular cytotoxicity and/or phagocytosis, may be possible.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.

英語

ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

data ya mpangilio wa rna ya seli moja ilionyesha kuwa tmprss2 inaonyeshwa sana katika tishu na tovuti kadhaa za mwili na inaonyeshwa pamoja na ace2 katika seli za epithelial za pua, mapafu na matawi ya bronchi, ambayo inaelezea baadhi ya tropism ya sars cov2.

英語

sars-cov2 pseudovirus entry assays revealed that tmprss2 and cathepsin l have cumulative effects with furin on activating virus entry.

最終更新: 2021-11-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,745,542,012 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK