Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
baada ya kuambatisha, protisi ya seli mama hukwamilia na kuamilisha kipokezi kilichoambatishwa kwenye protini ya ncha kazi.
after attachment, a protease of the host cell cleaves and activates the receptor-attached spike protein.
cytokine hizi huiingiza seli za kinga ili kuachilia idadi kubwa ya fanifu huru ambazo ndizo chanzo kikubwa cha ards na viungo kufeli mara nyingi.
these cytokines induce immune cells to release a vast number of free radicals which are the major cause of ards and multiple organ failure.
amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.
amer daoud and his wife raghda hassan first met and fell in love as political prisoners in the cells of a syrian prison 15 years ago.
hata hivyo, mbinu nyingine, kama vile sitotoksiki ya seli na/au phagocytosis zinazotegema kingamwili, zinawezekana.
other mechanisms however, such as antibody-dependent cellular cytotoxicity and/or phagocytosis, may be possible.
ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.
ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.
data ya mpangilio wa rna ya seli moja ilionyesha kuwa tmprss2 inaonyeshwa sana katika tishu na tovuti kadhaa za mwili na inaonyeshwa pamoja na ace2 katika seli za epithelial za pua, mapafu na matawi ya bronchi, ambayo inaelezea baadhi ya tropism ya sars cov2.
sars-cov2 pseudovirus entry assays revealed that tmprss2 and cathepsin l have cumulative effects with furin on activating virus entry.
Последнее обновление: 2021-11-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник: