検索ワード: tueleza kwa kina (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

tueleza kwa kina

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

tumelitangaza hilo kwa kina.

英語

we've covered that in detail.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nahitaji kuzungumza kwa kina

英語

最終更新: 2023-06-08
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna wengi wanaohitaji kuangalia kwa kina zaidi.

英語

there are many who need to look a little further.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na kwa kina a'adi tulimtuma ndugu yao hud.

英語

and to 'ad (people we sent) their brother hud.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kufanya hivyo kulimlazimu kulitazama suala hili kwa kina zaidi.

英語

this had then forced him to look further into the matter.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ifuatayo ni video inayoonesha kwa kina kile kinachoendelea katika mkakati huu:

英語

here is a video that illustrates the work in process :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bloga kutoka algeria the moor next door amekuwa akiblogu habari hii kwa kina anaripoti:

英語

algerian the moor next door has been blogging the story intensively and reports:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika mtandao, wanablogu na watumiaji wa twita wanasherehekea na kutafakari kwa kina mustakabali wa tanzania.

英語

online, bloggers and tweeps are celebrating and reflecting on the future of tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

amira aliandika kwa kina kwenye blogu yake kwa hiyo hebu na tumpe sauti kubwa zaidi ili kila mtu aujue ukweli.

英語

amira wrote the details on her blog so let's give her a louder voice and let everyone know the truth.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mahali pazuri kuanzia ni kwenye post hii ya blogu hiyo inayoeleza kwa kina upuuzi nyuma ya mtazamo wa kiudanganyifu wa kijapani.

英語

a great place to start is this blog post describing the absurdities behind japan's pro-whaling stance.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa jumla, rbd kwenye protini ya s ya cov huingiliana na kipokezi cha seli na huteuliwa kwa kina na jibu la antibodi ya mbebaji.

英語

generally, the rbd in the s protein of a cov interacts with the cellular receptor and is intensely selected by the host antibody response.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kukosekana kwa taarifa za kuhusika kwa familia ya perella kwenye tukio hilo kulishangaza wengi na kuwafanya waandishi wa habari kuamua kulifuatilia suala hilo kwa kina.

英語

the strange absence of information about the perrellas' role in the incident motivated local journalists to further investigate the story.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na kwa kina thamud tulimtuma ndugu yao saleh kuwaambia: muabuduni mwenyezi mungu. basi wakawa makundi mawili yanayo gombana.

英語

and certainly we sent to samood their brother salih, saying: serve allah; and lo! they became two sects quarrelling with each other.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@7azem122: nipo tayari kuthibitisha kwa mwendesha mashitaka wa umma na nitasema kwa kina kile kilichotokea na nitataja wazi kuwa makasisi ndio waliochochea mauaji haya.

英語

@7azem122: i am ready to testify at the public prosecutor and i will say what happened in detail and i will say that the clergymen were the ones who instigated this crime

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kupitia mtandao wa kijamii wa facebook, mwanablogu wa yemeni afra nasser anazungumzia kwa kina suala la kubana uhuru wa kujieleza katika nchi yake na namna mwandishi huyo wa kike anavyosumbuliwa -kama anavyodai yeye kwa kutokuheshimu dini.

英語

on facebook, yemeni blogger afrah nasser tackles the issue of restricting freedom of expression in her country and how a female writer is being harassed - allegedly for her disrespect of religion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

zitto kabwe, ambaye ni mbunge na pia ni mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali, alifafanua baadhi ya mambo ya msingi yaliyomo kwenye waraka uliovuja katika blogu yake, na kuchambua kwa kina kuhusiana na hoja ya kuwa hati ya makubaliano kutokuwekwa bayana.

英語

zitto kabwe, a member of parliament and chairman of the public accounts committee, highlighted some of the leaked document’s key points in a q&a on his blog, and critiqued the fact that the psa was not made publicly available.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

banda aliwapa changamoto wananchi kufikiri kwa kina kuhusiana na sherehe hizi, , akihoji kama siku ya uhuru inasherehekewa kwa kupitisha muda tu, aukwa mafanikio ya nchi tangu kupatikana kwa uhuru miaka 50 iliyopita, mwaka ambao rhodesia kaskazini ilipojibadilisha kuwa jamhuri ya zambia.

英語

banda challenged the public to think harder about the holiday, asking if independence day celebrates the mere passage of time, or the country's achievements since that hot summer night 50 years ago, when northern rhodesia transformed itself into the republic of zambia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wanakufa kwa kukosa chakula na njaa kama ilivyokuwa hivi karibuni katika mkoa wa teso, mashariki ya uganda; kuna mabadiliko katika mfumo wa wa maji kama kupungua kwa kina cha maji cha ziwa victoria ; majira yasiyotabirika, kupungua kwa rutuba ya udongo na kupotea kwa uzalishaji wa kilimo na hivyo kuongezeka kwa umasikini wa familia na madhara yake.

英語

people are dying of starvation and hunger like the recent case in teso region, eastern uganda; there are changes in water ecosystems like the dwindling levels of lake victoria; unpredictable seasons, loss of soil fertility and loss of agricultural output and hence increased household poverty and its implications.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,742,704,492 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK