検索ワード: upimaji (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

upimaji

英語

measurement

最終更新: 2015-04-19
使用頻度: 17
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

upimaji wa malaria

英語

advice and testing for hiv/aids

最終更新: 2022-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

upimaji wa ardhi na kuweka mipaka

英語

land surveying

最終更新: 2021-08-11
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hali sawa na hiyo pia ilitokea kupitia upimaji wa sars.

英語

a similar situation also occurred with the diagnosis of sars.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

umbali kamili wa kuenea huku hakujulikani, kwa sababu ya upimaji uliopungua.

英語

the full extent of the spread is uncertain, due in part to limited testing.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwezi machi 2020 china iliripoti matatizo katika usahihi wa vifurushi vya vya upimaji.

英語

in march 2020 china reported problems with accuracy in their test kits.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bila majibu bayana kwa maswali haya, hatuwezi kuafikia upimaji haraka na sahihi na matibabu faafu.

英語

without clear answers to these questions, we cannot achieve fast and accurate diagnosis and effective treatment.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

upimaji wa virusi kwa kawaida unajumuisha pamba inayoingizwa puani au koo ambayo inachambuliwa katika maabara ili kuchunguza virusi.

英語

testing for the virus usually consists of a swab inserted through the nose or a throat swab which is analysed in a laboratory for the virus.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tarehe 20 machi 2020, maafisa wa afya wa urusi walitangaza kuwa wanasayansi wameanza upimaji wa wanyama kwa kutumia chanjo sita zilizoteuliwa.

英語

on 20 march 2020, russian health officials announced that scientists have begun animal testing of six different vaccine candidates.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokana na viwango vya chini ya upimaji, kufikia machi 2020 hakuna nchi zilizokuwa na data ya kutegemeka kuhusu kusambaa kwa virusi miongoni mwa watu wake.

英語

due to limited testing, as of march 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kusasisha utaratibu wa upimaji wa “kisa kinachoshukiwa” na “kisa kilichothibitishwa” cha covid-19 ni muhimu

英語

updating the diagnostic criteria of covid-19 “suspected case” and “confirmed case” is necessary

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kupima kwetu wagonjwa walio katika hatari ya chini kutaonyesha iwapo mkakati wa udhibiti uliowekwa kwa msingi wa upimaji wa kivairolojia wa wagonjwa walio katika hatari kubwa na watu waliogusana naye na kujitenga.

英語

our testing of low-risk patients will also inform whether the containment strategy that is based on virology testing of high-risk patients and their contacts plus self-isolation is effective.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

shirika la afya duniani (who) linapendekeza uchunguzi amilifu, ukizingatia utafutaji wa kisa, upimaji na utafutaji wa utangamano katika hali zote za maambukizo.

英語

the world health organization (who) recommends active surveillance, with focus of case finding, testing and contact tracing in all transmission scenarios.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dalili kuu za kimatibabu: upimaji wa kifua na maendeleo ya muda ya dalili za kimatibabu zinapaswa kuzingatiwa pamoja na masuala mengine kwa ajili ya utabiri wa matokeo na matatizo ya covid-19.

英語

major clinical symptoms: chest radiography and temporal progression of clinical symptoms should be considered together with the other issues for the prediction of outcomes and complications of covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

英語

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, kazi yao pia inahitaji kusasishwa kulingana na mwongozo wa hivi punde wa upimaji na matibabu wa covid-19 (toleo la jaribio la saba) na utafiti wa hivi majuzi.

英語

however, their work also needs update according to the latest diagnosis and treatment guidelines for covid-19 (trial seventh version) and recently studies.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, kutokana na kiwango cha juu cha visa vya ugonjwa uliopo kutopatikana kupitia vipimo, jambo linaloweza kueneza janga hili, ishara za kimatibabu zilianza kutumika kwa ajili ya upimaji (ambayo haitegemei tena rt-pcr pekee) nchini china mnamo tarehe 13 februari 2020.

英語

however, due to the high false-negative rate, which may accelerate the epidemic, clinical manifestations started to be used for diagnosis (which no longer solely relied on rt-pcr) in china on february 13, 2020.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,765,586,450 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK