検索ワード: usiniambie habari hizo kabisa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

usiniambie habari hizo kabisa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

tazama ukurasa maalumu wa habari hizo.

英語

see special coverage page.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi ndivyo periodismo en línea alivyotwiti habari hizo:

英語

this is how periodismo en línea tweeted the news:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtandaoni, watumiaji wa mtandao walionyesha mshangao wao kwa habari hizo.

英語

online, netizens expressed dismay at the news.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ameweka nakala ya habari hizo kutoka gazetini na kuwauliza wasomaji wake:

英語

he posts a copy of the clipping from the paper and asks his readers:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"wamemwachia mandela" -unakumbuka wakati huo uliposikia habari hizo?

英語

"they have released mandela"- do you remember the very moment you heard this statement made?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

wakorea wengi walichukizwa na habari hizo, wengi walilita tukio hilo kama aibu ya taifa,

英語

many koreans were appalled by the news, most of them calling the incident as a national shame.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

habari hizo ziliamsha maoni mengi na hata maswali zaidi kutoka kila pembe ya afrika kusini.

英語

the saga elicited many opinions and even further questions from all corners of south africa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nadine ghazzawi, dada yae razan, aliitikia habari hizo za facebook hapo juu kwa kusema:

英語

nadine ghazzawi, razan's sister, responds to the news on the above facebook post saying:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akitangaza habari hizo za bei mpya ya unga mahindi, waziri wa kilimo na mifugo emmanuel chandaalisema:

英語

announcing the new maize floor price, agriculture and livestock minister emmanuel chenda said:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"haiwezekani hata kidogo!" - dmitry peskov alijibu kwa haraka habari hizo kutoka vatican.

英語

"not a chance!" - dmitry peskov tersely commented on the latest news from vatican.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mimz anaonyesha hisia zake juu ya jinsi ambavyo shirika la habari la sudani (suna) lilitangaza habari hizo.

英語

mimz reacts to how the official sudanese news agency (suna) covered the news.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

msomaji mmoja anatoa maoni akidhani kwamba kublogu kunahitaji kazi kubwa katika kuhakikisha kuwa habari mpya zinaendelea kuwepo sambamba na kiwango cha habari hizo.

英語

one reader comments that blogging requires a load of work in order to ensure updates and quality.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na mimi mwenyewe nikatoa maoni: wapalestinia wengi waliuliza iweje makala hayo yatangazwe sasa, na wengine wakaoanisha habari hizo kuwa hila.

英語

and i commented: everyone is now wondering what new information was given in the al jazeera documentary, when the whole nation knew he was poisoned. what's new is that evidence is provided, when at first there were just rumours. many palestinians questioned why the documentary was being broadcast now, and resorted to conspiracy theories as an explanation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: maria magdalene, yoana na maria mama wa yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.

英語

it was mary magdalene, and joanna, and mary the mother of james, and other women that were with them, which told these things unto the apostles.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku shughuli za kila siku zikiendelea kama kawaida kwenye miji ya malawi, wanablogu na raia wengine wa mtandaoni kwenye tovuti za habari za kijamii wameopokea habari hizo na mitazamo mchanganyiko.

英語

while business went on as usual in malawi's towns, bloggers and other netizens in social media sites have received the news with mixed feelings.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

habari hizo ziliibuliwa na mwandishi anayeishi washington dc, zaid benjamin, aliyeweka picha kadhaa kwenye mtandao wa facebook zikionesha sarafu na vito vya zamani vya syria zikiuzwa nchini uturuki.

英語

the alarm was raised by washington dc-based journalist zaid benjamin, who shared screenshots of the facebook pages posting syrian antiques for sale in turkey.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maafisa waandamizi wa serikali na makada wa chama tawala hawakufurahishwa na habari hizo zilizokuwa zikifuatilia kwa makini na kuweka wazi hali ya mhe sata na kulikuwa na majaribio mengi ya kuifungia tovuti hiyo ambayo kwa nyakati kadhaa ilizuiwa kuifanya isipatikane kwa wasomaji wanaoishi zambia.

英語

both senior government officials and ruling party cadres were not happy with the publication for keenly following and exposing mr sata’s condition and there were many attempts to shut down the online publication which was at times blocked for access to people in zambia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ukurasa huo bandia wa facebook uliodaiwa kuwa wa dr. scott ulipoonekana, wavuti ya kiraia ya zambian eye iliripoti habari hizo, inagwa kulikuwa na maswali mengi kuhusiana na uhalisi wake:

英語

when the facebook page purported to belong to dr. scott emerged, citizen media website zambian eye reported about it, although there were questions on its authenticity:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtumiaji wa twita @faresadlhakuweza kuamini habari hiyo, kwa hiyo akamwandikia kamel akishangaa kama habari hizo zilikuwa zimethibitishwa ama zilikuwa ni uvumi tu: @faresadl: @basboussa1 ni kweli kabisa unagombea uraisi?

英語

twitter user @faresadl could not believe it, so he wrote to kamel wondering if the news had been confirmed or was just a rumour: @faresadl: @basboussa1 are you really running for presidency?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

si tu kwamba wamejihatarisha kwa ghasia wakati wakiandika habari hizo za mapambano kati ya polisi na waandamanaji, lakini pia waliporudi ofisini wakitokea kwenye uwanja wa habari, wengine wao wamejikuta wakifuatiliwa ndani kwa ndani na waandishi wenzao au hata kujikuta wakibughudhiwa na wahuni wanaounga mkono msimamo wa beijing.

英語

not only have they exposed themselves to violence while covering clashes between police and protesters, when they return to the office from the field, some of them have to endure the push for self-censorship from the newsroom or even harassment from pro-beijing thugs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,734,395,392 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK