検索ワード: utamaliza waganga (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

utamaliza waganga

英語

when you finish school?

最終更新: 2013-05-20
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika umoja wa nchi za ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama

英語

there are strict procedures and veterinary control on the introduction of products of animal origin into the european union for official controls

最終更新: 2014-02-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

-kati ya nusu na theluthi mbili ya wanawake wanaotafuta huduma za kutoa mbimba huenda kwa waganga wa kienyeji wasio na ujuzi wa kitabibu unaotakikana.

英語

-between half and two thirds of women who seek abortions are going to traditional practitioners who do not have the required medical skills.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwanamke huyo alikuwa amekwisha sumbuka sana kuwaendea waganga wengi. na ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote, hakupata nafuu bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.

英語

and had suffered many things of many physicians, and had spent all that she had, and was nothing bettered, but rather grew worse,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kulikuwa na mwanamke mmoja kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu kumponya.

英語

and a woman having an issue of blood twelve years, which had spent all her living upon physicians, neither could be healed of any,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

...wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa jadi, ambao lengo lao ni kuwatoa pepo wabaya kwa kuchoma ngozi, au kwa wafanyakazi wasio na ujuzi wa chumba kimoja cha kliniki za afya ambao huwapa kila kitu kutoka vidonge vya dawa ya kupunguza maumivu hadi dawa ya kikohozi.

英語

...the mentally ill are still treated by traditional healers, who aim to drive out bad spirits by burning the skin, or by the untrained staff of one-room health clinics who prescribe everything from pain-relief tablets to cough syrup.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati anamaliza masomo yake aliamua kufanya kazi kwa waganga wasio na mipaka/ médecins sans frontières (msf), kwa kutumia ujuzi wake ili kutoa huduma za bure za afya nchini somalia.

英語

upon completing her studies, she decided to work for the doctors without borders/médecins sans frontières (msf), using her skills to help provide free medical care in somalia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,740,056,217 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK