検索ワード: vigezo (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

vigezo

英語

variables

最終更新: 2024-04-07
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vigezo masharti

英語

conditional parameters

最終更新: 2021-01-15
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

vigezo vya kiwango cha c/mgonjwa

英語

factors

最終更新: 2024-01-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa sababu inakiuka msharti na vigezo vyetu, picha hiyo imeondolewa.

英語

as it infringes our terms of service, it was removed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

msanii huyo anasema vigezo vya kufuatiliwa havizingatiwi sana na havitumiki kwa usawa.

英語

the artist says the criteria for censorship are applied loosely and unequally.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na vigezo vya kuiga vinatokana na kile nchi inachopenda au itokane na udhaifu wake.

英語

and criteria for copying are based on what country likes or based on his weakness.

最終更新: 2013-04-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kujua zaidi kuhusu vigezo vinavyozingatiwa katika kuweka viwango, tafadhali tembelea here

英語

to find more about criteria of the rating, please visit here

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakuna atakayekupa kazi kwa kuzingatia wasifu kuwa ulikuwa “mbunge na bila kuzingatia vigezo vya kielimu”.

英語

no one will give you a job with a cv with "ex-mp but no qualification".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

pamoja na vipokezi vya seli, matokeo ya usambazaji wa hcov baina ya viumbe pia hutawaliwa na utegemezi na wabebaji wengine na vigezo vya uzuiaji.

英語

in addition to cellular receptors, the outcome of interspecies transmission of hcovs is also governed by other host dependency and restriction factors.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alama za udahili zinakokotolewa kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari kwa kuzingatia ngazi ya mwanafunzi ya ufaulu, mitihani ya mwisho pamoja na vigezo vingine.

英語

admission points are calculated for each high school student on the basis of their grades, final exams and other obtained qualifications.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kando na aina tofauti za wanyama wabebaji, vigezo vitatu vikuu kwenye upande wa virusi pia ni muhimu katika kuwezesha virusi vya covs kusambazwa kwa viumbe.

英語

apart from different types of the animal hosts, three major factors on the viral side are also important in facilitating covs to cross species barriers.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, siku ya alhamisi mchana, wizara ya rasilimali watu ilitangaza kuwa wasingeweka bayana vigezo kwa mwaka huu (2012).

英語

on thursday afternoon, however, the ministry of human resources announced they wouldn't publish the requirements this year.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

solís mora, ambaye picha za mwili wake zimekuwa zikifuatiliwa kwa lengo la kudhibiti kazi zake, anaona vigezo vya kufuatilia picha za sanaa kwenye mitandao ya kidigitali haikuzi demokrasia:

英語

solís mora, whose body images online have also encountered censorship, considers the criteria for censoring artistic images on digital media undemocratic:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

makala hii itakuwa ya kwanza katika mfululizo wa machapisho yatakayojadili namna mbalimbali za kushughulikia suala la kudhibitiwa kwa sanaa hii, kwa kutumia masimulizi ya erika ordosgoitti na wasanii wnegine waliobanwa na masharti na vigezo vya mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na makubaliano ya kijamii.

英語

this post will be the first in a series of publications that will address the different ways of dealing with art censorship, based on the stories of erika ordosgoitti and other artists who have been restrained by social networks' terms of service and by social conventions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

serikali ya hangari ilionekana kuwa tayari kukubaliana na matakwa ya wanafunzi , kama ilivyotangazwa siku ya jumatano mchana kuwa vigezo vya udahili kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza mwaka 2013 vingebaki kuwawanafunzi 55,000 badala ya idadi ya 10,480 iliyokuwa imetangazwa awali mbele ya waandamanaji.

英語

the hungarian government seemed to be willing to comply with the students' demands, as on wednesday at noon it was announced that the 2013 undergraduate admission quota for tuition-free higher education would be set back to 55,000 students instead of the 10,480 published before the protests.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zimekuwa zikizingatia utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara ambao tayari wanamiliki biashara zao, wale ambao hawana biashara hawaruhusiwi kupewa mikopo kabisa. licha ya hivyo bado kuna changamoto za vigezo vya kupata mikopo hiyo kwa mfano ni lazim,a uwe na dhamana ya yenye kukidhi kuweza kupewa mkopo unaohitaji vilevile kuna gharama za mkopo huo unalazimiki uzigharamia kabla ya kuatiwa mkopo

英語

have been focusing on lending to entrepreneurs who already own their businesses, those who do not have a business are not allowed to be given loans at all. however, there are still challenges to the criteria for obtaining such loans, for example, you must have a sufficient guarantee to be able to get the loan you need as well as there are costs of the loan that you have to pay before you can get a loan.

最終更新: 2020-11-29
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

data kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa hali sugu za afya na vigezo vingine vya hatari vinavyoweza kutambuliwa kwa ajili ya matokeo ya hali mbaya kutokana na maambukizi ya njia ya pumu (yaani., uvutaji sigara na ujauzito) zilipatikana kwa wagonjwa 7,162 (5.8%) (jedwali la 1).

英語

data on presence or absence of underlying health conditions and other recognized risk factors for severe outcomes from respiratory infections (i.e., smoking and pregnancy) were available for 7,162 (5.8%) patients (table 1).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,745,738,145 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK