検索ワード: wanaoishi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wanaoishi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

taja wanyama watatu wanaoishi nyumbani.

英語

describe three animals living in the home.

最終更新: 2024-04-14
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"je tunaweza kuwa na matumaini kwa wale wanaoishi?

英語

dare we hope for the living?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwa maana itawajia kama mtego, wote wanaoishi duniani pote.

英語

for as a snare shall it come on all them that dwell on the face of the whole earth.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni matarajio yetu kuwa waislamu wanaoishi marekani watauendeleza utamaduni huu.

英語

we hope muslims in #us will keep the tradition alive.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chui wameorodheshwa kama wanyama wanaoishi kwenye mazingira magumu nchini taiwan.

英語

leopard cat is listed as a vulnerable species in taiwan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

raia wa venezuela wanaoishi mexico wametumia mitando ya kijamii kuandaa maandamano februari 16.

英語

venezuelans resident in mexico used social media to arrange a march on february 16th.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matokeo yake ni watu wanaoishi balochistani kujilinda wenyewe dhidi ya itikadi mbalimbali za hatari.

英語

the result is the people living in balochistan have to protect themselves from several different dangerous ideologies.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

raia wa kongo wanaoishi nje ya nchi yao waliandamana mbele ya balozi za nchi hiyo katika nchi mbalimbali.

英語

the congolese nationals based outside the congo demonstrated in front of embassies in several different countries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

afrika: ujuzi wa matumizi ya zana za habari za kijamii kwa vijana wanaoishi na ulemavu.

英語

africa: social media skills for african youth with disabilities · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

enyi watu wa afrika kusini, mnafahamu kweli kuwa wapo raia wenu wanaoishi katika nchi nyingine za afrika?

英語

(black consciousness is a political and philosophical movement to transform black thought that was founded by south africa anti-apartheid hero steve biko.)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alissa alikuwa amekuja kenya, na kwa muda wa miezi kadhaa, alikuwa anafanya kazi na watu wanaoishi kibera.

英語

alissa had come to kenya and for several months she had been working with the people living in kibera.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wachaga ni kabila la kibantu lakini pia ni mchanganyiko wa damu ya kitusi wanaoishi kasikazini mwa tanzania chini ya mlima kilimanjaro mkoani kilimanjaro

英語

swahili

最終更新: 2020-10-06
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na ingawa wa-kongo wanaoishi nje ya nchi yao hawakuwezeshwa kupiga kura, walihakikisha wanapaza sauti zao zisikike duniani kote.

英語

and although the congolese diaspora was unable to vote, they made sure to get their voices heard by the world.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je, kuna tofauti kati ya wanawake wanaotumikia kifungo kwenye magereza (ya mafunzo) na wale wanaoishi nje?

英語

is there a difference between mothers serving terms in correctional facilities and those outside?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jumuia ya watu wanaoishi nje ya nchi mara nyingi hutakiwa kupigia kura vyama vya mrengo wa kulia, pamoja na kuwa watu hawa hawaishi nchini crotia na wala kutozwa kodi.

英語

the diaspora is often called out for favoring right-wing political parties, while not living and paying taxes in croatia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

magazeti mengi hivi sasa yanachunguza ni kwa namna gani vitendo vya hassan vitawaathiri waislamu wanaotumikia katika jeshi la marekani, na wakazi waislamu wanaoishi karibu na kambi ya fort hood.

英語

a number of newspapers are now examining how major hasan's actions will affect muslims serving the in us army, and muslim residents around fort hood.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mujibu wa eleven media, watu 6 walifariki na wengine 12 walikimbizwa hospitalini kutoka na majeraha waliyoyapata wakati wa mashambulizi makali yaliyotokea kati ya mei 30 na juni 8 dhidi ya raia wa mynamar wanaoishi nchini malasia.

英語

according to eleven media, 6 died and 12 were hospitalized with injuries during the violent attacks against myanmar nationals in malaysia from may 30 to june 8.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ilipotika ijumaa tarehe 15 january, waziri wa usalama wa ndani wa marekani, janet napolitano, alitoa ruhusa ya raia wa haiti wanaoishi marekani hivi sasa kupewa tps kwa kipindi cha miezi 18.

英語

on friday, january 15, homeland security secretary janet napolitano granted tps to all haitians currently living in the us for eighteen months.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jedwali hili kutoka benki ya maendeleo ya mataifa ya marekani, ambalo linatoka kwenye utafiti wa mwaka 2006, linadai kuwa wahaiti wanaoishi marekani walituma karibu ya dola bilioni 1.9 za kimarekani kiola mwaka kwenda nyumbani.

英語

this chart from the inter-american development bank, based on a 2006 study, claims that haitians living in the united states sent nearly $1.9 billion home annually.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinatarajiwa kuathiri vibaya zaidi (na pasipo uwiano) mwenendo wa maisha, afya, na fursa za kielimu kwa watu wanaoishi kwenye ufukara.

英語

the impacts of climate change are expected to seriously (and disproportionately) affect the livelihoods, health, and educational opportunities of people living in poverty.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,763,679,275 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK