検索ワード: zifuatazo ni taarifa juu ya hisia na mawazo (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

zifuatazo ni taarifa juu ya hisia na mawazo

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

imejitolea kutoa taarifa juu ya kesi ya wanablogu na waandishi wa habari wasio na hatia.

英語

it is dedicated to report on the trial of innocent bloggers and journalists.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

walipofika yerusalemu walikaribishwa na kanisa, mitume na wazee; nao wakawapa taarifa juu ya yote mungu aliyoyafanya pamoja nao.

英語

and when they were come to jerusalem, they were received of the church, and of the apostles and elders, and they declared all things that god had done with them.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alama ya twita ya #walk2work imekuwa ikitumika kutoa taarifa juu ya kampeni hiyo na tangu kukamatwa kwake asubuhi, ujumbe wa twita umekuwa ukija na taarifa mpya mbalimbali pamoja na maoni

英語

the twitter hashtag #walk2work has been used to report on the campaign and from the time of his arrest in the morning, tweets were coming with different updates and opinions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

walipofika huko antiokia walifanya mkutano wa kanisa la mahali hapo, wakawapa taarifa juu ya mambo mungu aliyofanya pamoja nao, na jinsi alivyowafungulia mlango watu wa mataifa mengine mlango wa kuingia katika imani.

英語

and when they were come, and had gathered the church together, they rehearsed all that god had done with them, and how he had opened the door of faith unto the gentiles.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kbs inalenga zaidi juu ya majibu ya rais kuliko waathirika na taarifa juu ya ujumbe wa kuwaokoa (kupitia mwanabloglu kwenye mtandao kupitia alama ashiria "mimi ni peter")

英語

kbs focuses more on the president's reaction than the survivors and updates on the rescue mission (by blogger with the online handle of "i am peter")

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

katika 'sura na sauti za uchaguzi', eduardo anavuta hisia na mawazo ya watu wa venezuela anapowapa fursa ya kueleza ni mgombea yupi watamchagua katika uchaguzi wa rais uliofanyika jumapili, oktoba 7, 2012.

英語

in 'faces and voices of an election', eduardo captures the thoughts and feelings of the venezuelan people as they explain who they will vote for in the presidential election on sunday, october 7, 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kadhalika wengine wanaripoti juu ya matukio katika maeneo fulani fulani, huku wakiwa na matumaini ya kuwaondoa hofu ndugu na wapenzi walio nje ya nchi (mpaka hivi sasa, ni taarifa chache mno zilizokwishatolewa kwenye wavuti kuhusu waliofariki na waliojeruhiwa).

英語

still others are reporting on incidents in specific locations, in the hopes of assuaging the concerns of loved ones abroad (as of yet, very little information on those injured and dead has been released online).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,768,210,041 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK