検索ワード: transparence (フランス語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

French

Swahili

情報

French

transparence

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

フランス語

スワヒリ語

情報

フランス語

d'autres ont critiqué le manque de transparence sur les procédures ministérielles.

スワヒリ語

wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

la société civile angolaise exhorte à une plus grande transparence durant la préparation des prochaines élections générales prévues pour le 31 août 2012.

スワヒリ語

asasi za kiraia nchini angola zinatoa wito wa uwazi zaidi katika maandalizi ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 31 agosti, 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

en outre, des médias sociaux en ligne se sont révélés des instruments puissants pour promouvoir la transparence et la lutte contre la corruption.

スワヒリ語

pia, uanahabari wa kijamii mtandaoni umejidhihirisha kuwa chombo chenye nguvu katika kutangaza uwazi na kupigana dhidi ya rushwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

les éditeurs de global voices prêtent également attention à des billets de la blogosphère qui concernent la transparence, la corruption et la responsabilité gouvernementale.

スワヒリ語

wahariri wa global voices pia wanawaelekeza wasomaji wao zilipo makala zinazohusiana na uwazi, rushwa na uwajibikaji serikalini katika ulimwengu wa blogu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

dans ce billet, nous analysons l'utilisation de la technologie pour améliorer la transparence électorale, la participation politique et la bonne gouvernance.

スワヒリ語

katika makala hii tunatazama namna wanaijeria wanavyotumia teknolojia kuwezesha uwazi katika uchaguzi, ushirikishwaji wa kisiasa na utawala bora.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

nous sommes toujours là, plus forts que jamais .. la transparence et la responsabilité commencent à prévaloir... la tanzanie ne pourra que s'améliorer...

スワヒリ語

bado tupo, imara kuliko wakati mwingine wowote...uwazi na uwajibikaji vinaanza kuimarika...tanzania inaanza kupata nafuu

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

article 19 "note également que les mesures existantes visant à assurer la transparence du gouvernement ne sont pas effectivement appliquées" écrit l'organisation.

スワヒリ語

ibara ya 19 "inabaisha wasiwasi uliopo kwamba hatua zilizopo zimetengenezwa kuhakikisha kuwa uwazi wa serikali hautekelezeki kwa ufanisi" shirika hilo lilisema.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

フランス語

le community life project (projet vie communautaire) a déployé cette plateforme avec succès pour promouvoir la transparence électorale dans la phase pré-électorale de 2011.

スワヒリ語

mradi wa maisha ya jamii uliweza kwa mafaniko makubwa kulitumia jukwaa hili kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi katika kipindi cha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

le tort de ces sept personnes : défendre les droits de l'homme, réclamer de la transparence aux autorités et essayer de faire respecter l’État de droit dans leur pays.

スワヒリ語

watetezi hawa saba wamekuwa wakitetea haki za binadamu, kuweka bayana maovu ya maafisa wa serikali pamoja na kudai utawala wa sheria nchini mwao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

bien que de nombreux experts soient convaincus que l'influence la plus durable des nouvelles technologies sera celle exercée sur le terrain de l'éducation, "d'égale importance est le potentiel de la technologie pour une plus grande transparence générale et pour la responsabilisation, comme le montrent les initiatives utilisant les médias sociaux et les médias citoyens pour la surveillance des élections locales ou pour rendre les données publiques disponibles sur internet."

スワヒリ語

na wakati wataalamu wengi wakiamini kuwa athari chanya za muda mrefu zinazotokana na teknolojia mpya zitakuwa kwenye sekta ya elimu, 'pia lililo muhimu ni uwezo wa kuitumia teknolojia kwa faida katika maeneo kama uwazi wa jumla na uwajibikaji, kama inavyoonyeshwa na miradi inayojishughulisha na vyombo vya habari vya kijamii na kiraia kwa ajili ya kufuatilia chaguzi za mahali mahususi au kufanya takwimu za serikali kupatikana kwenye mtandao wa intaneti."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,764,077,739 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK