検索ワード: doctrine (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

doctrine

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

truly ye are in a doctrine discordant,

スワヒリ語

hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and when the multitude heard this, they were astonished at his doctrine.

スワヒリ語

ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

and they were astonished at his doctrine: for his word was with power.

スワヒリ語

wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

the high priest then asked jesus of his disciples, and of his doctrine.

スワヒリ語

basi, kuhani akamwuliza yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.

最終更新: 2014-07-22
使用頻度: 1
品質:

英語

and he taught them many things by parables, and said unto them in his doctrine,

スワヒリ語

aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

jesus answered them, and said, my doctrine is not mine, but his that sent me.

スワヒリ語

hapo yesu akawajibu, "mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

the doctrine teaches me to how to live life as a human and it all sounds very decent to me.

スワヒリ語

mafundisho ya dini yananielekeza namna ya kuishi kama binadamu na kwangu hilo linafaa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

let the elders that rule well be counted worthy of double honour, especially they who labour in the word and doctrine.

スワヒリ語

wazee wanaowaongoza watu vizuri wanastahili kupata riziki maradufu, hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

and they were astonished at his doctrine: for he taught them as one that had authority, and not as the scribes.

スワヒリ語

watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama walimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

and they continued stedfastly in the apostles' doctrine and fellowship, and in breaking of bread, and in prayers.

スワヒリ語

hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kidugu, kumega mkate na kusali.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

but god be thanked, that ye were the servants of sin, but ye have obeyed from the heart that form of doctrine which was delivered you.

スワヒリ語

ingawa mlikuwa watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini--namshukuru mungu--mmetii kwa moyo wote yale maazimio na mafundisho mliyopokea.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

all scripture is given by inspiration of god, and is profitable for doctrine, for reproof, for correction, for instruction in righteousness:

スワヒリ語

maandiko yote matakatifu yameandikwa kwa uongozi wa mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu waishi maisha adili,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

they were exercising their right to free expression, enshrined by their nation’s constitution and international human rights doctrine to which bangladesh is party.

スワヒリ語

walikuwa wakitumia haki yao ya uhuru wa kujieleza, whuku wakilindwa na katiba ya taifa lao pamoja na sheria ya kimataifa ya haki za binadamu ambayo bangladesh ni mwanachama.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

say: "i am no bringer of new-fangled doctrine among the messengers, nor do i know what will be done with me or with you.

スワヒリ語

sema: mimi si kiroja miongoni mwa mitume. wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

verily, i have called my people night and day (i.e. secretly and openly to accept the doctrine of islamic monotheism).

スワヒリ語

hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and who does more wrong than he who invents a lie against allah or denies the truth (muhammad saw and his doctrine of islamic monotheism and this quran), when it comes to him?

スワヒリ語

na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo mwenyezi mungu au anaye kanusha haki inapo mjia?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

but if they answer you not (i.e. do not believe in your doctrine of islamic monotheism, nor follow you), then know that they only follow their own lusts.

スワヒリ語

na ikiwa hawakuitikii, basi jua kuwa wanafuata pumbao lao tu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

be not carried about with divers and strange doctrines. for it is a good thing that the heart be established with grace; not with meats, which have not profited them that have been occupied therein.

スワヒリ語

msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. neema ya mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia kamwe mtu yeyote aliyeyafuata.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,730,679,326 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK