検索ワード: federation (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

federation

スワヒリ語

shirikisho

最終更新: 2013-08-14
使用頻度: 2
品質:

参照: Wikipedia

英語

federation of universities

スワヒリ語

udahili wa vyuo vikuu

最終更新: 2023-07-19
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

this was after the then kenya football federation, kff almost threw the game to the dogs.

スワヒリ語

jambo hili lilitokea baada ya fkf ilipokaribia kabisa kuutupilia mbali huu mchezo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and if the russian federation does get kicked out of the g8 this year, who better to take its place but ukraine?

スワヒリ語

na kama shirikisho la urusi litatimuliwa kwenye kundi la g8 mwaka huu, nani achukue nafasi hiyo mwingine zaidi ya ukraine?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.

スワヒリ語

mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

paul nsapu, secretary general for africa of the international federation for human rights in kinshasa, is appalled by the excessive measures taken by the government:

スワヒリ語

paul nsapu, katibu mkuu wa muungano wa kimataifa wa haki za binadamu barani afrika unaofanya kazi zake kinshasa, anashangazwa na hatua kali zilizochukuliwa na serikali:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

deputy secretary general for administration at federation of liberian youth, daintowon pay-bayee ,says, “disability is not inability.”

スワヒリ語

naibu katibu mkuu wa utawala katika shirikisho la vijana wa liberia, daintowon pay-bayee, anasema, "ulemavu sio kukosa uwezo."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

on 29 august, 2012, football kenya federation (fkf) chairman sam nyamweya announced that former french footballer and coach henri michel has been appointed national team coach.

スワヒリ語

mnamo, tarehe 29, mwezi wa agosti mwaka 2012, mwenyekiti wa shirikisho la kandanda(football kenya federation-fkf), bwana sam nyamweya alitangaza kuwa mchezaji na kocha wa zamani mfaransa henri michel ameteuliwa kocha wa timu ya taifa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

fifa fined the croatia football federation 35,000 swiss francs ($38,000) for incidents during its 2-1 loss against belgium in zagreb on october 11.

スワヒリ語

fifa ililipiga faini shirikisho la soka la croatia 35,000 faranga ya uswisi ($ 38,000) kwa ajili ya matukio wakati wa kushindwa kwake kwa mabao 2-1 dhidi ya ubelgiji nchini zagreb oktoba 11.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

among them were student confederation of chile (confech), national high school students assembly (aces), national high school students coordinator (cones), movement of higher education students (mesup), organization of private higher education federations (ofesup) and association of ministry of education officers (andime).

スワヒリ語

kuyataja kwa uchache ni pamoja na shirikisho la wanafunzi la chile (confech), mkutano wa taifa wa wanafunzi wa sekondari (aces), mratibu wa taifa wa wanafunzi wa sekondari (cones), vuguvugu la wanafunzi wa elimu ya juu (mesup), muungano wa mashirikisho ya sekta binfafsi ya elimu ya juu (ofesup) na chama cha maafisa wa wizara ya elimu (andime).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,747,009,476 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK