検索ワード: immune (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

immune

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

gwe not immune either blad

スワヒリ語

nze asinga

最終更新: 2016-06-28
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

meanwhile, arab regimes seem to be immune to learning from experience.

スワヒリ語

wakati huo huo, tawala za ki-arabu zinaonekana kuwa na kinga ya kifunza kutokana na yaliyowakumba majirani zao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

soon, the adaptive immune response joins the fight against the virus.

スワヒリ語

baada ya muda mfupi, kinga ya mwili inajiunga katika kupambana na virusi.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

part of the immune response to infection is the production of antibodies including igm and igg.

スワヒリ語

sehemu ya kinga ya mwili kukabiliana na maambukizi ni uzalishaji wa antibodi ikiwa ni pamoja na igm na igg.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

african media itself, however, is certainly not immune from criticism of this sort.

スワヒリ語

vyombo vya habari vya afrika vyenyewe, hata hivyo, kwa sasa havina kinga dhidi ya ukosoaji wa aina hii.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

he had thought that the irrelevancy of the post he sought would make him immune from government pressure.

スワヒリ語

awali alidhani kuwa nafasi ndogo kama hiyo aliyogombea ingempa kinga ya kushambuliwa na serikali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

however, the n protein of sars-cov can help the virus escape from the immune responses.

スワヒリ語

hata hivyo, protini ya n ya sars-cov inaweza kusaidia virusi kukwepa makali ya kinga ya mwili.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

chloroquine is an anti-malarial medication that is also used against some auto-immune diseases.

スワヒリ語

chloroquine ni dawa ya kuzuia malaria ambayo hutumika pia dhidi ya magonjwa fulani ya kingamwili kushambulia mwili kimakosa.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

for clt a single specimen of peripheral blood is commonly used, although serial specimens can be used to follow the immune response.

スワヒリ語

kwa clt sampuli moja ya damu ya pembeni inatumika, ingawa sampuli zsugu zinaweza kutumika fuatilia makabiliano ya kinga ya mwili.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a second strategy, subunit vaccines, aims to create a vaccine that sensitises the immune system to certain subunits of the virus.

スワヒリ語

mbinu ya pili, kisehemu cha chanjo, kinakusudia kuunda chanjo ambayo inafanya mfumo wa kinga kuhisi visehemu fulani vya virusi.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

it is common that for people who are exposed to a large number of viruses or whose immune functions are compromised, they have higher chance to be infected than others.

スワヒリ語

ni jambo la kawaida kwamba kwa watu waliomo katika hatari ya kupata idadi kubwa ya virusi au ambao kinga zao za mwili ni dhaifu, wana nafasi kubwa zaidi ya kuambukizwa na wengine.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

for example, antibodies can overstimulate the immune response and cause cytokine release syndrome, which is potentially a life-threatening toxicity.

スワヒリ語

kwa mfano, antibodi zinaweza kuchochea kinga ya mwili kupita kisasi na kusababisha saitokini kuzalishwa, ambayo ina uwezekano wa kuwa na uchafu wa kutishia maisha.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

around 24 january 2020 in australia, the university of queensland announced that it is investigating the potential of a molecular clamp vaccine that would genetically modify viral proteins in order to stimulate an immune reaction.

スワヒリ語

mnamo 24 januari 2020 nchini australia, chuo kikuu cha queensland kilitangaza kwamba kinafanya uchunguzi wa uwezekano wa chanjo ya kunata molekuli inayoweza kubadilisha kijenetiki protini za virusi ili kuchochea kinga ya mwili.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

rates of cardiovascular symptoms is high, owing to the systemic inflammatory response and immune system disorders during disease progression, but acute myocardial injury may also be related to ace2 receptors in the heart.

スワヒリ語

viwango vya dalili za ugonjwa wa moyo ni ya juu, kwa sababu ya ugonjwa wa mfumo wa kujibu uchochezi na mfumo wa kinga wakati wa maendeleo ya ugonjwa huo, lakini jeraha kali la ukuta wa moyo unaweza pia unahusiana na vipokezi za ace2 moyoni.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the development of a safe and effective vaccine against sars-cov-2 for non-immune individuals is an urgent and critical task for controlling the ongoing epidemic.

スワヒリ語

uundaji wa chanjo salama na faafu dhidi ya sars-cov-2 kwa watu wasiokuwa na kinga ya mwili ni jukumu la dharura na muhimu la kudhibiti janga hili linaloendelea.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

in addition to the tests required to move a novel vaccine or antiviral drug into the clinic for the first time, manufacturers must ensure that any long-term or chronic toxicities are well-defined, including effects on systems not previously monitored (fertility, reproduction, immune system, among others).

スワヒリ語

kwa kuongezea vipimo vinavyohitajika kutoa chanjo kipya au dawa ya kukinga virusi kwa kliniki kwa mara ya kwanza, lazima watengenezaji wahakikishe kuwa sumu zozote za muda mrefu au za kudumu zimetambuliwa vizuri, ikiwemo athari kwenye mifumo ambayo haijachunguzwa hapo awali (uwezo wa kupata mimba, uzazi, mfumo wa kinga, kati ya zingine).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,742,644,554 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK